Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

These are the same people that cheated you that Mugufuli is not sick?😂😂😂.

If you answer me these questions then I'll take you seriously.

When was Magufuli admitted in that hospital?
Why did your government deny that he was sick and is busy working?
Why didn't they announce his admission to that said hospital?
 
Articles yeyote anaweza kuandika, leta video inayoonesha Magufuli akipelekwa Hospitali. Kwa jinsi walivyomchukia, wange leak video tuu kama ingekuwa kweli.
Why are you reasoning like an illiterate guy? Have you ever seen a video of a dying president in hospital? Security can't allow for such things. Najua hata nikikuuliza video ya Mwinyi in his deathbed huezinionyesha.
 
huwa unaumiza hawa tanganyikans wanabaki wakikutafuta hadi ukienda chooni.......Continue beating them bro.HAHAHAHA..............
They hate facts😂😂😂.

Again I can't be bullied so if that's their intention then watatoka Bure.
 
These are the same people that cheated you that Mugufuli is not sick?😂😂😂.

If you answer me these questions then I'll take you seriously.

When was Magufuli admitted in that hospital?
Why did your government deny that he was sick and is busy working?
Why didn't they announce his admission to that said hospital?
WE TOLD THEM 2 DAYS PRIOR BEFORE THEIR COMMUNIST GOVT WAS FORCED TO REVEAL THE TRUTH....Dont joke with Team KOT......
 
Kwani kule juu hukuekewa tarehe??
Yule ni rais na hakuna rais aliyewahi kuwa na upinzani kama Magufuli,kukaa kimya ilikua ni vizuri kwa hali ya utulivu wa kisiasa.
Ila alipofariki walisema kuwa kafia katika hospitali ya Mzena na ndipo maiti ilipotoka na taratibu za mazishi kufanyika.
EMbu wasome BBC news waliobobea katika habari wakupe taarifa ya uhakika.
Pasome kwa utuo nilipopazungushia alama nyekundu.
Screenshot_2024-03-13-12-35-38-41_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-03-13-12-36-02-64_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-03-13-12-36-40-80_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-03-13-12-37-04-38_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
France 24 hawana correspondents Tanzania.
Angalau ungeniambia Aljazeera kweli.
Kuhusu hiyo the Guardian mister Chamoto kwishakujibu huko juu.View attachment 2933358
Why do you want them to have correspondent in Tanzania when Magufuli didn't die in Tanzania?

Why do you want them to have correspondent in Tanzania when Tanzanian themselves didn't even know that Magufuli was sick?

Finally who told you they don't have correspondent in Tanzania?
 
WE TOLD THEM 2 DAYS PRIOR BEFORE THEIR COMMUNIST GOVT WAS FORCED TO REVEAL THE TRUTH....Dont joke with Team KOT......
I can remember that day nilipigwa ban because I was wishing Mugufuli to die.
 
Why do you want them to have correspondent in Tanzania when Magufuli didn't die in Tanzania?

Why do you want them to have correspondent in Tanzania when Tanzanian themselves didn't even know that Magufuli was sick?

Finally who told you they don't have correspondent in Tanzania?
We kumbe ni fala??
Nani alikua hajui kama Magufuli anaumwa??
Magufuli alikua akiumwa muda na hakuna asiyefahamu kama alikua anaumwa,na mbona mnajichanganya?
Si mlisema alikufa kwa Corona??
KWa upuuzi wako Magufuli aumwe corona aletwe Kenya kwani Kenya kuna tiba ya corona?
Magufuli alifia Mzena hakufia Kenya.
Nitajie hao correspondent wa France 24 Tanzania.
 
Why are you reasoning like an illiterate guy? Have you ever seen a video of a dying president in hospital? Security can't allow for such things. Najua hata nilikuuliza video ya Mwinyi in his deathbed huezinionyesha.
Nyinyi wakenya ndiyo mlikuja na madai yanayopingana na vile rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania alivyosema, " Magufuli alifia Mzena", ndiyo maana tumeomba ushahidi. Hakuna aliyebisha kuwa Mwinyi alifia Mzena, kama vile rais wetu alivyosema, hoja yako kuhusu Mwinyi haina mashiko.
 
We kumbe ni fala??
Nani alikua hajui kama Magufuli anaumwa??
Magufuli alikua akiumwa muda na hakuna asiyefahamu kama alikua anaumwa,na mbona mnajichanganya?
Si mlisema alikufa kwa Corona??
KWa upuuzi wako Magufuli aumwe corona aletwe Kenya kwani Kenya kuna tiba ya corona?
Magufuli alifia Mzena hakufia Kenya.
Nitajie hao correspondent wa France 24 Tanzania.
Bado wana zile propaganda za kishamba za 19 century wakati tupo 21 century. 😂😂😂
 
Hizi laana sijui kwanini wanapenda kung'ang'ania vitu vya TZ Yani Hadi Yana kela Dunia mzima inajua magufuri amefariki akiwa dar es salaam vyombo vya habari vyote vikubwa duniani vilitangaza amefia dar es salaam lakini yalivyo kuwa masenge yanalazimisha et amefia kenya ukiuliza source ya hizo information wanakuambia KIBERA rumors.com
Haya Sasa kama amefia hospital ya huko Kenya leteni ushaidi wa documents za mgonjwa alizoandikishwa kuwa amepokelewa hiyo hospital maana Mimi ninavyojua mtu yoyote yule akienda hospital lazima Kuna taarifa za mgonjwa zitakuwa recorded either mapokezi au hukohuko ward alipolazwa kama alikuwa na emergency na huu ndio utaratibu wa WHO unatekelezwa na health facilities zote duniani bila kujalisha ni nani
kama mgonjwa akitokea amefariki taarifa za kifo zitatolewa na doctor wa hospital aliyehusika kumpa matibabu

ila hii misenge walivyokuwa na shobo na TZ inakuja rumors zao kutoka huko kibera kuja kulazimisha vitu ambavyo havipo wanafikiri taratibu za Dunia ni za kibera

Taarifa alipofia Nyerere hizi hapa hakuna ubabaishaji inajulikana amefia hospital ilioko London,uingireza 👇👇👇pia magufuri ndio hivyohivyo👇👇
Screenshot_20240313-124233.jpg
Screenshot_20240313-124159.jpg
 
Hizi laana sijui kwanini wanapenda kung'ang'ania vitu vya TZ Yani Hadi Yana kela Dunia mzima inajua magufuri amefariki akiwa dar es salaam vyombo vya habari vyote vikubwa duniani vilitangaza amefia dar es salaam lakini yalivyo kuwa masenge yanalazimisha et amefia kenya ukiuliza source ya hizo information wanakuambia KIBERA rumors.com
Haya Sasa kama amefia hospital ya huko Kenya leteni ushaidi wa documents za mgonjwa alizoandikishwa kuwa amepokelewa hiyo hospital maana Mimi ninavyojua mtu yoyote yule akienda hospital lazima Kuna taarifa za mgonjwa zitakuwa recorded either mapokezi au hukohuko ward alipolazwa kama alikuwa na emergency na huu ndio utaratibu wa WHO unatekelezwa na health facilities zote duniani bila kujalisha ni nani
kama mgonjwa akitokea amefariki taarifa za kifo zitatolewa na doctor wa hospital aliyehusika kumpa matibabu

ila hii misenge walivyokuwa na shobo na TZ inakuja rumors zao kutoka huko kibera kuja kulazimisha vitu ambavyo havipo wanafikiri taratibu za Dunia ni za kibera

Taarifa alipofia Nyerere hizi hapa hakuna ubabaishaji inajulikana amefia hospital ilioko London,uingireza 👇👇👇pia magufuri ndio hivyohivyo👇👇View attachment 2933379View attachment 2933374
accept bitter truth....denial is the first step ......hahaha
 
Back
Top Bottom