Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Magufuli alirudishwa Tanzania kama ashakufa.

Nakumbuka siku aliletwa Kenya na ndege ya ikatua Wilson airport GOK decided kuzima stima Kenya mzima untill when he was admitted at the hospital.

They then faked Raila's sickness where he was also admitted at Nairobi Hospital to avoid attraction of citizens and media.

That day nobody could enter Nairobi Hospital VIP wing.

Lakini Kenya's media ni akina nani, they found out it was indeed Magufuli ndio alifichwa hapo and was already dead. Actually the death of Magufuli watanzania walijua kutoka kwa wakenya.

I can also remember when we were telling them that Magufuli is dead and they were saying that Magufuli Ako ikulu anachapa kazi😂😂
Show the evidence....
 
Hakuna mahali nimejiongelea mimi kwenye kile nilichao andika.

Nimesema hivii, alifutiwa matokea Galanosi form 4 kwa udanganyifu wa mtihani, pili, five na six alipiga Forest Hill, Morogoro alipotoka na 4. Usilete hapa mambo ya degree kwakua zinauzwa bei chee kwa kilaza yeyote mwenye uwezo wa kulipia.

View attachment 2932229
Sasa wewe uko bize kuniongelea mimi. BTW, seminary hawachukui kilaza na mimi nimetokea St. Francis de Sales, Kihonda, Morogoro. Sisi huanza na pre-form one huko Lububu, Tabora chini ya wasomi wa viwango vya masters kuendelea, mapadre Wakihindi. Huko mwaka na nusu ni kujifunza lugha ya malkia. Ni marufuku kuongea Kiswahili unapoanza form one Morogoro. Wanafunzi wote waliokuwapo Forest Hill ni failures, sasa sijui unanifananishaje na vilaza.

Tatizo lako ni itikadi za NATO chini ya kivuli cha Makobazi. 🙄
Kiingereza chako kibovu humfikii Makamba!
 
Magufuli alipelekwa Tanzania on his deathbed. Nairobi Hospital really tried but it seems his time was already up.
View attachment 2933299
Haya magazeti ni mouth piece ya the deep state, kazi yao ni kupiga propaganda. Hawakumpenda Magufuli kwasababu aliwaumbua, hivyo wakaamua kumdahlilisha kwa kusambaza uongo kuwa alifia Kenya, sijui alikufa kwa corona. Magazeti ya Kenya nayo yalitumika kueneza hizo propaganda. Haya magazeti ndiyo yamekuwa yakipiga propaganda kuwa Ukraine is winning, for more than a year, wakati uongo mtupu.
 
Which other evidence do you need tofauti na those articles have shared?
🤣 🤣 🤣 Tangu lini Teargas aka Jobless Teargass akawa na aikili. Sisi tunaongelea Development wewe umekuja kutuchamba 🤣🤣🤣 Ndio maana Shakira alikufukuza

1708410304070.png
 
Articles zenu za kutunga???
Kwani hatujui kama ninyi ni watu wa kutunga??
Au unataka nikupe evidence zingine za fake news mlizotunga Kenyas??
Magufuli alifia Mzena sio kwa uviko 19 bali kwa tatizo la moyo alokuepo nalo.
Is this Kenyan article?

Screenshot_20240313-112337_1.jpg



What about this?

Screenshot_20240313-113010_1.jpg
 
Articles yeyote anaweza kuandika, leta video inayoonesha Magufuli akipelekwa Hospitali. Kwa jinsi walivyomchukia, wange leak video tuu kama ingekuwa kweli.
Walivyo kuwa wanamchukia halafu wasivujishe hata kapicha.
Kaka huyo mtoto ambaye hajapevuka asikupotezee muda.
Kwa kuangalia tu arguments zake humu unagundua kuwa hajapevuka bado. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom