ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,435
- 89,846
Ujenzi wa Viwanda unaoendelea maeneo mbalimbali ya Nchi ni mkubwa kuliko wakati mwingine wowote achana na hiki Cha Serikali namaanisha kutoka private sector.Asa haya ndio twayataka.
Hilo ndilo tunalitaka.Ujenzi wa Viwanda unaoendelea maeneo mbalimbali ya Nchi ni mkubwa kuliko wakati mwingine wowote achana na hiki Cha Serikali yaani private sector.
Weekend hii nitaleta picha za kiwanda Cha Bil.600 plus Cha Vinywaji baridi Mjini Sumbawanga.
Kero ya sukari iliisha kitambo.Pili hakuna Nchi isiyo na kero hapa Duniani so long as cycle ya maisha inaendelea.Huko Germany madaktaro wamegoma.Hilo ndilo tunalitaka.
Angalau kero ya umeme imeanza kupungua sasa ije kero ya sukari.
Japo asa hivi kidogo sukari imeshuka robo 900 tofauti mwanzo robo ilikua 1300.
A lower income residential estate in Nakuru ikona straight streets and tarmacked roads unai compare na mbeya an unplanned town with no tarmacked roads or straight streets. π π πNakuru hii hapa bila lipstick π πππ hii ni sawa na mbeya tu π
View: https://youtu.be/Ltf6eLYZVI4?si=mG9ogg_Pn2t1LQz5.
zingine unaachana tu nazo bro....tukiweka anything ya Tanzania town just outside cbd itakuwa child abuse.Just ignore that he posted anythingA lower income residential estate in Nakuru ikona straight streets and tarmacked roads unai compare na mbeya an unplanned town with no tarmacked roads or straight streets. π π π
Naona umenitafuta jirani πππNairobi huwa tunakuja kwa kulazimishwa na ni sababu za kikazi siwez acha kwenda mwanza kula sangara na sato nije kula chapo Nai π and talking about madem wenu bongo tuna pisi za uhakika π€Ila huyo watchman ako desperate sana, yani anaongelea kukuoa? Interestingly ako humu kila siku akitusi mademu wakenya hawana sura kumbe ni sungura kashinda kufikia mizabibu kasema ni chungu. π€£ π€£
Huyo Shebby01 naye ako huku Nairobi anashare picha za mazingira mabovu kumbe ni huko ndiko anakowezana maanake mademu wa Kilimani, Kileleshwa, Langata et al hawawezi? Hawa majamaa wako desperate sana. π€£
Bro unajua kupangilia codes lamamayeeee.Naona umenitafuta jirani πππNairobi huwa tunakuja kwa kulazimishwa na ni sababu za kikazi siwez acha kwenda mwanza kula sangara na sato nije kula chapo Nai π and talking about madem wenu bongo tuna pisi za uhakika π€
Tuki post madem zetu humu na wake zetu mtakimbia π
Na kwa taarifa yako niko mbali hukooooβ¦. Nakula bata acha nikuekee na tu photos πmaana nyie hodari wa kupinga kila kitu
wengine tuki post mambo yetu binafsi humu ndani mtakimbia tena acha tuwa enjoy tu π
View attachment 2932702View attachment 2932703View attachment 2932704View attachment 2932705View attachment 2932706View attachment 2932707
Mbona kawaida bro ila ahsanteBro unajua kupangilia codes lamamayeeee.
Unajua kuvaa.
Factszingine unaachana tu nazo bro....tukiweka anything ya Tanzania town just outside cbd itakuwa child abuse.Just ignore that he posted anything
Seeing is believing wanakuambia πππππThis is me when I was university student πKapripoint MwanzaView attachment 2909756wala sina haja ya kuficha sura mimi my brother π within Malimbe campus View attachment 2909757Rock Beach garden Mwanza πView attachment 2909759halafu huyu ni wewe π mwenye hata kuvaa hujui yaaani π€£π€£π€£π€£π€£ heb jiangalie mshkaji wangu πView attachment 2909763
Sie tumezoea kushindia misuli tuπ€£π€£π€£π€£π€£Mbona kawaida bro ila ahsante
ππππππWala usihangaike sana kuhusu viatu brand nilizovaa zinajulikana my brother, Air force ni 55k Tz money, Anta ni 50k, halafu kuhusu viatu wakati nasoma nilikua nikivaa brands tofauti hii hapa ilikua ni sehemu yangu ya kuekea viatu πView attachment 2909773more than ten pairs of shoes. π€£π€£π€£ Wakati nikiwa shule nilikua naishi better than how you living right now