COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Haha hii sasa ata kilimani haiezi
Haha hii sasa ata kilimani haiezi
Mbona unapiga kelele sana.Haha hii sasa ata kilimani haiezi
Hii ndio picha nlitaka wapi over 10 floors halo zote ni dwafts
sijakataa..... Kariakoo (Urban Ward, Tanzania) - Population Statistics, Charts, Map and LocationKwikwikwi unachekesha sana. Hapa tunaongelea kariakoo ward sio jengo la soko la kariakoo sawa dogo.
Apo wameandika za kariakoo kama kariakoosidhani kama ni kubwa vile. Kariakoo (Urban Ward, Tanzania) - Population Statistics, Charts, Map and Location
Zoom hesabuHii ndio picha nlitaka wapi over 10 floors halo zote ni dwafts
Endelea kujipa matumainiHaha hii sasa ata kilimani haiezi
Huyo achana nae kariakoo haijui ukubwa wake anafkiri ni kama kula makandeApo wameandika za kariakoo kama kariakoo
Ila alichomanisha ni lumumba + kariakoo + mnazimoja + samora + jangwani+ ilala boma
ongezea na upanga, kijitombanga, masake, tandale.... ni dar is slum nzima.Apo wameandika za kariakoo kama kariakoo
Ila alichomanisha ni lumumba + kariakoo + mnazimoja + samora + jangwani+ ilala boma
Asante kwa matumaini hio ni just ukubwa wa soko la kariakoo au kwa lugha nyingine kariakoo market😀😀Kirikou
Area: 0.410 km²
Sio mimi nimepapima.
naona pumzi zimekuishia sasa😀😀😀😀Haha hii sasa ata kilimani haiezi
hahahaha..... pitia hapa>>>>> Kariakoo (Urban Ward, Tanzania) - Population Statistics, Charts, Map and Location usione hayaHuyo achana nae kariakoo haijui ukubwa wake anafkiri ni kama kula makande
Asante kwa hasira 😀😀😀😀😀ongezea na upanga, kijitombanga, masake, tandale.... ni dar is slum nzima.
asante kwa kusema ukweli kaka.
Uliko wewe mimi nishatoka kitambo sana hio map its just kariakoo market and not kariakoo generally😀😀😀hahahaha..... pitia hapa>>>>> Kariakoo (Urban Ward, Tanzania) - Population Statistics, Charts, Map and Location usione haya
Hahaha sawa kibera boy. ...utaishia tu ku post picha Za cbd ila huna ubavu wakuishi kwenye nyumbaongezea na upanga, kijitombanga, masake, tandale.... ni dar is slum nzima.
asante kwa kusema ukweli kaka.
hahahaha sio kwamba sijui kuwa kiriakuu ni Ward!!!Asante kwa matumaini hio ni just ukubwa wa soko la kariakoo au kwa lugha nyingine kariakoo market😀😀
Ndio maana nimekwambia angalia hiyo ramani iliyowekwa hapo ni eneo la soko tu.sijakataa..... Kariakoo (Urban Ward, Tanzania) - Population Statistics, Charts, Map and Location
karibu sana!
hamna cha market wala nini....Uliko wewe mimi nishatoka kitambo sana hio map its just kariakoo market and not kariakoo generally😀😀😀
tafadhali fungua link ii hapa nakupa>>> Kariakoo (Urban Ward, Tanzania) - Population Statistics, Charts, Map and Location kisha uniambie wametaja market au Ward???Ndio maana nimekwambia angalia hiyo ramani iliyowekwa hapo ni eneo la soko tu.
Kariakoo hii hapa CBD
![]()