Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio maana nimekwambia angalia hiyo ramani iliyowekwa hapo ni eneo la soko tu.
Kariakoo hii hapa CBD

15711046508_a374ff0095_c.jpg
btw.... kaariakoo ni CBD au Residential Area?
chunga jibu lako lisije likakufunga....
 
Kariakoo si nasikia kwamba ni eneo la makazi? The only place in Dar where you can get a rental apartment. It's sad that they decided to make such a place a residential area right in the middle of town. Talk of poor panning!
 
Tatizo Ni kukosa hoja,unataka the whole day upate free lecture abt kariakoo and yet ur not ready to understand, you've been told kariakoo is a ward that comprises of market within!!there I plenty of stores apartments,hotels and playing grounds,eat that
sio kukosa hoja msee. wenzako wanajicontradict wenyewe.... mara kirikuu sio jengo moja, mara sijui anamaanisha osterbay, jangwani, upanga,,,, sielewi mimi mara soko la samaki.... (i guess that place stinks of rotten fish)

sasa ili kuwekana sawa kabla hatujaenda mbele... tafadhali nakuomba uhusike hapa kwenye hii link ninakupa>>> Kariakoo (Urban Ward, Tanzania) - Population Statistics, Charts, Map and Location
 
Tatizo Ni kukosa hoja,unataka the whole day upate free lecture abt kariakoo and yet ur not ready to understand, you've been told kariakoo is a ward that comprises of market within!!there I plenty of stores apartments,hotels and playing grounds,eat that
btw....
Kirikou
Area: 0.410 km²

karibu sana mkuu.
ukiwa na swali niulize
 
Residential or CBD????
Kariakoo (Urban Ward, Tanzania) - Population Statistics, Charts, Map and Location
lete mpaka mkocheni, masaki, mafinga, jangwani.... lakini nadhani tumeelewana
Kirikou
Area: 0.410 km²
Kariakoo ni business area ,nmekwambia kuna maduka yakila aina kule,hotels,apartments,na sehemu zA michezo.....

Majengo mengi chini Ni maduka na floor za juu ni makazi....tatizo ni nn huelewi kiswahili au uwezo wa kuelewa ni mdogo sana, Dar kila mahali kuna residential apartments

Kama kenyata Au trump wanafnya shughuli zao ikulu na kulala apoapo nashangaa wewe unavyoshangaa kariakoo kua na makazi ya watu ni uwezo mdogo wa akili
 
Back
Top Bottom