Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hebu subiri nikuulize swali Kenya kuna referral hospitals ngap Kenya nzima 😄😄

Na uzitaje hapa
47 County Referral Hospitals, without counting National Referral Hospitals. Na zote zikona renal unit. 😂 😂 😂 Sasa sijui unataka kuanzia wapi, ju bongoslum ikona only 28 regional referral hospitals na 11 pekee ndio zikona renal unit.
 
47 County Referral Hospitals, without counting National Referral Hospitals.
Unaposema county referral huku Sisi tunaita region hospitals + district hopsitals sijui unanielewa🤣

Na Tanzania ukisema referral hospitals maana yake ni national referral hospitals

Akili ndogo haiwezi kuongoza akili kubwa
 
KANAIRO rieng ni nganya.......ngumi ni mbwegze. Tukiload magazin tutakuwacha tu kwa scene
FB_IMG_1710017144433.jpg
FB_IMG_1710017148231.jpg
 
Unaposema county referral huku Sisi tunaita region hospitals + district hopsitals sijui unanielewa🤣

Na Tanzania ukisema referral hospitals maana yake ni national referral hospitals

Akili ndogo haiwezi kuongoza akili kubwa
Hakuna kitu kama regional + district, Regional hospital ziko kwa higher rank than district hospital. We fala nini, nani hajui mkoa ni kubwa kuliko wilaya. Hata Kenya kuna county hospitals na district hospitals. Unajua maana ya REFARALL kweli? 😂😂😂 Soma hapa uwache kujiaibisha. 👇👇

Unaposema county, Tanzania ni kama district ,(wilaya) kwasababu ukisema mkoa inakua ni eneo kubwa zaidi ya county that's y Kenya kuna county 47 lakini Tanzania kuna mikoa 31 ikiwemo mikoa ya znz

Lakini Tanzania ni kubwa mara mbili ya Kenya 😄😄😄😄 hapo Yuko pamoja nafkiri

Na maana ya county ni Kata so kwa system ya Tanzania tutaita wilaya

Ndio maana nakwambia referral hospitals Tanzania ni nyingi kuliko Kenya na hili huwezi kubisha 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hospitali hupewa rank ju ya vifaa na services offered. Kenya all the 47 county referral hospital zikona renal units. Bongoslum only 11 regional referral hospitals ndio zikona renal units. So bado mko nyuma kama matako. 😂 😂 😂
 
Ndio maana nikakwambia ww ni mpumbavu wa akili 🤣🤣🤣🤣🤣

Ndio maana watu wa taveta hukimbilia Moshi kupata matibabu KCMC unajua kwann?? KCMC ni referral hospital

Na hzo 11 national referral hospitals zina kila aina ya upasuaji na matibabu bingwa

Screenshots_2024-03-10-00-30-25.png

View: https://twitter.com/mmtairo/status/1369543216064831491?t=8inL_M4I_BJQNGAJllB9lQ&s=19
 
Back
Top Bottom