Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ofcourse Ethiopia is next! Hili suala Mseveni alilielezea vizuri akitoa mfano wa the US and wild Wild West! Kama the eastern US ingekuwa na fikra kama zako ingebaki a nation of 13 states na si 50 plus ya Leo!
Sipingi hatua inayochukuliwa.
Ila ninatizama ubavu wa Tanzania katika hili suala.
Hizo states unazozizungumzia je zilikua na changamoto kama ya DRC,Somalia,Ethiopia na Burundi??
Tanzania ijiandae kwa ubavu zaidi kukabiliana na hizo changamoto za wanajumuiya.
Maana kila taifa hapo likitetereka safari ya kwanza Tz.
 
Wenzetu walifaulu mapema, ilikuwa unalazimishwa kuingia kwenye umoja hutaki unapigwa na unaingizwa kilazima, hakuna kuwa na raisi, Rais mmoja tu wa US, sisi huku alijaribu hivyo Nyerere lkn uroho wa madaraka wa viongozi wa EA hususan Jomo Kenyatta ukakwamisha hilo kutokea, sisi hapa hata haka ka Zanzibar hakakupaswa kuwa na Raisi, anatakiwa atokee Rais kichaa afute Rais Zanzibar, ubaki kuwa mkoa kama Chato au Lindi.
 
Ikulu is a key bantu word that means 'Heaven' or 'High Place' or 'Palace' or 'residence of the King/God'. Almost every Bantu language has it. The fact that Bongolalas are mesmerised by it trying to create a stupid nationalism about it is just laughable. Here are versions of the word Ikulu from various Bantu languages that mean 'high place' or 'residence of the King/God' in case anyone felt like feeling special.

Luhya (Middle Dialect) - Ikulu/Mwikulu
Luhya (Southern Dialect) - Iguru (Mwiguru)
Kikuyu - Iguru
Kiganda - Eggulu
Kinyarwanda - Ijuru
Zulu - Izulu
Xhosa - Izulwini
Kikamba - Ihulu
Kikisii - Iguru
Sukuma - Ikulu

Here is Rufftone's song done in English and Luhya titled Mwikulu to mean Heaven.

View: https://youtu.be/ml0vLwX_cQk?si=WmYZK679iAxcc7nn

You're the real culture thieves.
Case closed.

Wacha utoto pumbavu wewe ukishindwa kubali na sio kuingia Google ku search ili utafute njia ya kutoka, kibantu kinaingiliana maneno ila neno Ikulu asili yake ni Tanzania, nyie mmekopi kutoka Tanzania, kama hamkukopi kwanini hamkuita "Iguru" wacha utoto.
 
Tanzania is controlled by Kenyans.

Screenshot_20240306-094507_1.jpg
 
Wacha utoto pumbavu wewe ukishindwa kubali na sio kuingia Google ku search ili utafute njia ya kutoka, kibantu kinaingiliana maneno ila neno Ikulu asili yake ni Tanzania, nyie mmekopi kutoka Tanzania, kama hamkukopi kwanini hamkuita "Iguru" wacha utoto.
Anachekesha sana huyo jamaa.
Ikulu ndio ni kibantu,ila je ni kibantu cha asili ya wapi??
Ni kibantu cha asili ya Tanzania maana hata Nigeria wana misamiati yao ya kibantu je inafanana na ya Tanzania?
 
Back
Top Bottom