Na hii ilikuwa hivyo hivyo toka kipindi cha Hamisi kurudi nyuma (yaani, mkurugenzi mkuu ndo huyo huyo mkurugenzi wa Dar) au wamebadilisha mfumo?
Huo umeme hatutatosha, tutanogewa tuu.
Mbossa ni mkurugenzi wa TPA (ambayo ina miliki bandari zote), lakini Mrisho ni mkurugenzi wa bandari ya Dar tu. Kuna wakurugenzi wa bandari za Tanga, Mwanza, Mtwara, ziwa Nyasa na Tanganyika.Na hii ilikuwa hivyo hivyo toka kipindi cha Hamisi kurudi nyuma (yaani, mkurugenzi mkuu ndo huyo huyo mkurugenzi wa Dar) au wamebadilisha mfumo?
Bukhungu party 2 loading........🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Stages of grief
1. Denial
2. Anger
3. Bargaining
4. Depression
5. Acceptance.
Naona sahii bado wako kwenye denial. Wakianza matusi nitajua wamefika kwenye anger ila sindani wataipata tu. 🤣 🤣 🤣
Anajiona eti wao wana ’the largest animal sanctuary’ ha ha ha; kwa kujiongopea hawa nyang’au hawajambo.😎🤣
View: https://twitter.com/Anonymous2fool/status/1764740588446900427?t=-YFzNw6UGhTYLlAB06p8Jw&s=19 kuna mkunya kaumia hapo akaona alete uzushi wake,tsavo na masai ukiviplus vyote avifikii ukubwa wa tarangire national park
Hivyo viwanda vyote vitatumia gesi.Kabisa... Baada ya kusikia tu kwamba hapo Pwani watakula MW zote hizo nikaona bado kuna kazi kubwa ya kutafuta vyanzo mbadala vya umeme...
Kuna viwanda Kigamboni bado maeneo mengine.. Huo umeme wa Nyerere Hydro hautatutosha... Nashangaa wanavyosema tutapata wa kuuza nje.
The way we are on you? No you are not happy 😂 you are subscribed and following all Kenyan media stations waiting for crises 😂😂 that’s not happiness, you are miserable. Happiness is peaceIamLee am so happy what about u?😁😁
View: https://twitter.com/NationAfrica/status/1764716185944494299?t=Af7koPP4ajCc_rYQrxFH9A&s=19
Kama Geneva mwanangu ❤️❤️😘😘😍😍🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥
No future in Kenya, period.The way we are on you? No you are not happy 😂 you are subscribed and following all Kenyan media stations waiting for crises 😂😂 that’s not happiness, you are miserable. Happiness is peace
When I wanna know how my grandma is doing, I call Ichoboy… he got his ears and eyes tuned on Kenya like white girls on NBA players…🤣🤣🤣The way we are on you? No you are not happy 😂 you are subscribed and following all Kenyan media stations waiting for crises 😂😂 that’s not happiness, you are miserable. Happiness is peace
Mbossa atakuwa hapendi media maana wakuregenzi wakuu waliopita walisikika sana ndiyo maana nikadhani Mrisho naye ni mkurugenzi mkuu.Mbossa ni mkurugenzi wa TPA (ambayo ina miliki bandari zote), lakini Mrisho ni mkurugenzi wa bandari ya Dar tu. Kuna wakurugenzi wa bandari za Tanga, Mwanza, Mtwara, ziwa Nyasa na Tanganyika.
Nchi imekufa haina hata nguvu za kiume😁😁The way we are on you? No you are not happy 😂 you are subscribed and following all Kenyan media stations waiting for crises 😂😂 that’s not happiness, you are miserable. Happiness is peace
And what’s the deal about Kenya and Jubaland?… I know we turned it into a buffer zone … provided personal security for Sheikh Madobe, the regional President…. and trained his Ras Kaiboni brigade…. Any updates on that?…True.
Dodoma judiciaryView attachment 2924706View attachment 2924707
this dodoma is a big deal to tanganyikans.....some catch up knee jerk strategy to birth a city out of a village. good start though but don't stretch it too far....where has your government been all this time if I may ask.I am interested in the older judiciary building because clearly this ukiswahilini Islamic design is still under construction
The older building was built by "musungu" with no soul, just like yours.this dodoma is a big deal to tanganyikans.....some catch up knee jerk strategy to birth a city out of a village. good start though but don't stretch it too far....where has your government been all this time if I may ask.I am interested in the older judiciary building because clearly this ukiswahilini Islamic design is still under construction
Prices of all these stadiums, particularly Kenyan, have been inflated.