Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Simba leo kaupiga sana, alafu inatokea mijitu inasema itahost AFCON wakati unakuta mwaka mzima maofisa wa CAF hawajawahi kanyaga huko, kuhost ni zaidi ya Uwanja, how about usalama?

Huko Kenya mnaweza cheza match saa nne usiku inayoisha saa 6, na mashabiki kurudi maeneo mengi ya jiji la Nairobi saa 7 usiku?

Alafu unataka CAF warisk kupeleka ambapo hawapaelewi, waache nchi ambayo kila uchwao wapo kiofisi nayo mwaka na mwaka.
 
South Africa kuna viwanja vizuri, Egypt kuna viwanja vizuri, Morroco vile vile, Tunisia vile vile, ila walichagua BENJAMIN MKAPA STADIUM kwa ufunguzi wa first ever AFRICAN FOOTBALL LEAGUE
Na hawakuona aibu kualika viongozi wa FIFA, maana walijua we will not disappoint, mpaka tuzo ya mashabiki bora tulibeba, tulitoa the best atmosphere ya michuano.
 
Simba leo kaupiga sana, alafu inatokea mijitu inasema itahost AFCON wakati unakuta mwaka mzima maofisa wa CAF hawajawahi kanyaga huko, kuhost ni zaidi ya Uwanja, how about usalama?

Huko Kenya mnaweza cheza match saa nne usiku inayoisha saa 6, na mashabiki kurudi maeneo mengi ya jiji la Nairobi saa 7 usiku?

Alafu unataka CAF warisk kupeleka ambapo hawapaelewi, waache nchi ambayo kila uchwao wapo kiofisi nayo mwaka na mwaka.
Bro mm niliiombea Simba ishinde ili wakunya wajue kwamba sisi ndiyo baba ukanda huu, hatuna mpinzani, tumepeleka timu afcon, tumeingiza timu mbili cafcl, Afrika nzima hakuna nchi imepeleka timu mbili robo fainali zaidi ya timu za kariakoo kutoka NBC premier league.
 
Unatoka kutizama mpira usiku saa saba halafu unaenda kupanda matatu. 😂😂😂
 
DaPH1K5D_BOtMpeEfYhspdZrM9Fkff-UMIAko5sbghCJ55Hap1rbAYlAKKmw0ZCci4j0VrwJ3MCS1TDkG_xGakmSHmmGysa3WoMLnD9FusQ=s659
Render as usual, inaonesha jamaa ameumia sn kwahiyo now anatafuta ahueni na render inayobadilishwa kila siku 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Bro mm niliiombea Simba ishinde ili wakunya wajue kwamba sisi ndiyo baba ukanda huu, hatuna mpinzani, tumepeleka timu afcon, tumeingiza timu mbili cafcl, Afrika nzima hakuna nchi imepeleka timu mbili robo fainali zaidi ya timu za kariakoo kutoka NBC premier league.
Ila ligi ya NBC sina timu asee, ila kimataifa, nadhani ni aina ya shabiki lia lia wa hizo timu mbili damn,

Sababu ni moja wakishinda Tanzania imeshinda.
 
Back
Top Bottom