Mambo waliyofeli serikali awamu ya 6.Now kila kitu ni kuingiza siasa na uchawa badala ya utendaji
Investment kubwa hivi kurahisisha usafiri wa bidhaa nchini Zambia, Malawi, Zimbabwe na DRC bado Uganda oil deal kupitishia mafuta yao yote through Dar port lakini wakundustan watasema wao ndio regional logistics hub na regional powerhouse 😂😂TAZARA Improvement
-China kumwaga Trilioni 2.5
-WB kumwaga Sh.Bln 675
View: https://twitter.com/dailynewstz/status/1760924718255747546?t=661EA0QXuWg4wdkHFdCbWw&s=19
My Take: Ngoja tusubirie hiyo Tazara Mpya kama itapunguza Malori Barabarani na kuongeza matumizi ya reli ya Tazara kama zamani.
Nikionaga post za ki ndezi kama hizi ni obvious zinatokaga kwako.(brainless dude)
Pale punguani mmja anapojifanya Yuko focused 😁😁😁😁Nikionaga post za ki ndezi kama hizi ni obvious zinatokaga kwako.(brainless dude)
Viongozi kama hawa kina mbawara ni wastage of time . Hawajui hata wafocus wapi. Karne ya 21 wanafanya hafla za ujenzi wa visima vya kuhifadhi imported fossils from opec. angalau muda huu tulitegemea tuone more focus kwenye Natural gas au tuone vikao vingi na UG kuona namna ya ku-refine mafuta ghafi ya Uganda. Halafu Sio kweli kwamba Tanzania hakuna mafuta ghafi.
story=storeyA single story residential house.
Itoshe kusema wewe ni punguani maana siwezi jadiliana mambo ya msingi na mtu ambae hana akili na Yuko biased.Nonsense mshashindwa kazi, siasa nyingi kwenye mambo muhimu, naanza kufikiria kua hawa investors walikua kwa plan ya uncle ya Tanzania ya viwanda, walipoona strategic ya SGR, BWAWA, BANDARI UKARABATI, electric stability NK, unadhani kuna investors ataleta kiwanda hapa akisoma habari za migao migao?
A reason I said huna akili. unafikiria Habari za Hub yet nchi haina hata stock ya mwezi mmoja. Anyway wewe sio kosa lako. You are just a supermarket casual worker. Hopeless. Shida ni hawa viongozi wetu with average IQ , wanaoamini watu wa nchi nyingine ndio wataijenga nchi yetu. Na wewe pia unaamini hivyo. Small minded dude.Pale punguani mmja anapojifanya Yuko focused 😁😁😁😁
Miundombinu ya kuhifadhi Mafuta sio tuu ni Kwa Ajili ya strategic reserves ya Nchi Bali ni pamoja na kuifanya Tanzania kuwa hub ya Mafuta Kwa majirani hasa wa SADC.
Hivi karibuni Tanzania na Zambia wamekubaliana kujenga bomba jingine la kusafirisha Mafuta pamoja na Bomba la gas.
View attachment 2916226
So Mbarawa anaenda kuweka Jiwe la msingi la jambo la maana kabisa ,hatutarajii kurudi kule kwenye shida ya Mafuta kama mwaka Jana.Tukiwa na uwezo wa kuhifadhi Mafuta walau Kwa mwaka 1 itakuwa ni hatua kubwa.
Mengine ni pumba zako tuu hazina maana.
View attachment 2916235
Ndio maana nakwambia wewe ni nyumbu ,hiyo miundombinu Serikali inajenga Ili itunze nini sasa kama unajua Hatuwezi hata kutunza Kwa mwezi 1?A reason I said huna akili. unafikiria Habari za Hub yet nchi haina hata stock ya mwezi mmoja. Anyway wewe sio kosa lako. You are just a supermarket casual worker. Hopeless. Shida ni hawa viongozi wetu with average IQ , wanaoamini watu wa nchi nyingine ndio wataijenga nchi yetu. Na wewe pia unaamini hivyo. Small minded dude.