Wewe fatilia thread ujue ni nini kinazungumziwa badala ya kudandia gari katikakati ya safari. I was NOT trying to prove that Kenya's state house is among the best. uliza ichoboy atakuelekezaSasa kama kweli nyie mnajua kuchagua rangi mbona ya kwenu imekosa kwenye hiyo list au nyie hamna ikulu
So u think state house of tanzania is not whiteππUbaya wako unaingilia mjadala katikati bila kujua ni nini kinachoongelewa. Mwenzako ichoboy alisema mnajenga white house kule dodoma kisha nikamkosoa kwa kumwambia kwamba ni wamerekani pekee yao wanaitwa ikulu yao hivyo. Then akaniambia kwamba hiyo si la muhimu na kwamba ikulu ZOTE za rais duniani zimepakwa rangi nyeupe. I was just trying to tell him than not all are painted white. Na hata ni vizuri sana wewe pia umethibitisha kwamba ya S. Korea ina rangi ya blue
Sisi tunita ikulu,yeye kuiita white house wala haikuwa habari,maana ni nyeupe na inakaliwa na rais pia.Ubaya wako unaingilia mjadala katikati bila kujua ni nini kinachoongelewa. Mwenzako ichoboy alisema mnajenga white house kule dodoma kisha nikamkosoa kwa kumwambia kwamba ni wamerekani pekee yao wanaitwa ikulu yao hivyo. Then akaniambia kwamba hiyo si la muhimu na kwamba ikulu ZOTE za rais duniani zimepakwa rangi nyeupe. I was just trying to tell him than not all are painted white. Na hata ni vizuri sana wewe pia umethibitisha kwamba ya S. Korea ina rangi ya blue
Angesema tu ikulu badala ya white house. hiyo ni kujipatia misifa ambayo haifai.Sisi tunita ikulu,yeye kuiita white house wala haikuwa habari,maana ni nyeupe na inakaliwa na rais pia.
Ingekuwa nyekundu akaiita white house hapo angekuwa kachanganya.
Eti kudandia wewe inakuuma sana kusikia umeambia ikulu yetu kuitwa white house sasa ulitaka tuiite green house au black ndio ujue ni ubunifu au?!!!Wewe fatilia thread ujue ni nini kinazungumziwa badala ya kudandia gari katikakati ya safari. I was NOT trying to prove that Kenya's state house is among the best. uliza ichoboy atakuelekeza
sema tu ikulu ama state house. Sasa mkisema white house wamerekani watasema nini?Eti kudandia wewe inakuuma sana kusikia umeambia ikulu yetu kuitwa white house sasa ulitaka tuiite green house au black ndio ujue ni ubunifu au?!!!
Mbona hilo jina linakuuma acha wamarekani waje wenyewe wajitetee kwamba tunatumia jina la white hause. Ila tungekuwa tumeiita ya kwetu kibera slum house ungesema tungeliacha mara moja[emoji1] [emoji1]sema tu ikulu ama state house. Sasa mkisema white house wamerekani watasema nini?
Tunasema white house kwasababu ni white in colour so we unataka tusema black house,sema tu ikulu ama state house. Sasa mkisema white house wamerekani watasema nini?
endelea tu kukunywa supu ya albinoTunasema white house kwasababu ni white in colour so we unataka tusema black house,
Americans call their presidential palace the white house, the British call theirs 10 Downing Street, the Germans call theirs The Bellevue Palace and so on and so forth even though all these are painted white. sasa mbona mdandie majina za watu wengine? ama ndo kutokuwa mbunifu? and the white house is not just called white because of the predominant white colour. it is just a name they decided to call the official residence of their president. It had many names before it was renamed white house even though it was still white in colour hata enzi hizo. I hope umenielewa sasaTunasema white house kwasababu ni white in colour so we unataka tusema black house,
The capital town of bongolala
Wacha kubadilisha topic...tumalizane na hii story ya white house kwanzaSisi sio kama nyie mlio dandia kucopy hadi tower za watu wakati mnapesa kiduchu mkaona mjenge little sijui muitwe new york ndogo
Kwani kuita nairobi city na newyork city sio kutafuta misifa kienyeji??Angesema tu ikulu badala ya white house. hiyo ni kujipatia misifa ambayo haifai.
kuita mbeya na dodoma city ndio kutafuta misifaKwani kuita nairobi city na newyork city sio kutafuta misifa kienyeji??
Au kusema kiingereza ni lugha taifa ya kinya.kuita mbeya na dodoma city ndio kutafuta misifa
Kilio cha samakiπππππendelea tu kukunywa supu ya albino
Wazee wa super replicaWacha kubadilisha topic...tumalizane na hii story ya white house kwanza