Hatuelewi ama ujuaji mwingi??H
Hawaelewi lugha ya Kiingereza
Unapozungumzia masuala ya uchumi gharama za maisha unazitofautishaje na purchasing power???
Kwani gharama za maisha zinapandaje na zinashukaje bila na kuihusisha pesa??
Ninyi jamaa nina mashaka na elimu zenu .