Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa nikubali sikusoma vizuri ila kama ukiamini sielewi neno neighborhood ni sawa pia.
 
What Kenyans abroad sent back home in January alone is more than Tanzanian total export to Kenya. It's also more than what Tanzanian beggars and drug traffickers sent back to Tanzania in five years.

Hapa nikubali sikusoma vizuri ila kama ukiamini sielewi neno neighborhood ni sawa pia.
Ungekubali from mwanzo badala ya kunitusi tungekuwa tushafunga mjadala kitambo. Anyway, nimekuheshimu maanake naona kidogo uko na roho ya kukubali makosa unlike mwenzako Kosugi mwenye anaweza pingana for days akibadilisha magoli kisa hataki kukubali amekosea.
 
z
Wakenya akili mzigo sana
Barabara moja moja kwa mtaa wa kifahari ni aibu. Njoo Nairobi mitaa ya kifahari kupata barabara ya vumbi labda 1% na pia utapata ni barabara mpya ambayo bado haijafanyiwa planning.
 
Barabara moja moja kwa mtaa wa kifahari ni aibu. Njoo Nairobi mitaa ya kifahari kupata barabara ya vumbi labda 1% na pia utapata ni barabara mpya ambayo bado haijafanyiwa planning.
Anachokisema kina mantiki, relatively gharama za kujenga na kununua nyumba kenya ni kubwa kuliko Tz na sababu kubwa ni ardhi. Wachache wameishikilia.
 
Anachokisema kina mantiki, relatively gharama za kujenga na kununua nyumba kenya ni kubwa kuliko Tz na sababu kubwa ni ardhi. Wachache wameishikilia.
Huyo jamaa hutaweza kumuelewa kattwun.
Atapuyanga huku na kule .
 
Kwa mtu kama wewe uliye mgumu kuelewa??
Aisee ni hatari .
 
Attachments

  • IMG_20240127_162302_296.jpg
    2.4 MB · Views: 17
  • IMG_20240127_162259_520.jpg
    1.9 MB · Views: 18
  • IMG_20240127_162256_758.jpg
    2.5 MB · Views: 15
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…