Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Is me or you reasoning like a fool??
Au ni vile hujaelewa mifano niliyotolea??
Nazungumzia bungalow ya chini kuwa ina thamani hiyo kijana.
Najua kama kuna 3br za ghorofa pia ila sijazungumzia hizo.
Japo kiuhalisia ununuzi wa nyumba TZ ni bei rahisi kuliko Kenya na ubora ukiwa ni ule ule.
 
Vipi hii hapa watalaam wa uchumi imekaaje
 

Attachments

  • Screenshot_20240218-223408.png
    82.2 KB · Views: 18
Nani ametaja gorofa?
There are bungalows worth hundreds of millions and there are bungalows worth one million Kenya shillings. You have the tendency of speaking nonsense and forcing the narrative that you're not being understood.

You're a fool.
Hukuwahi kuwa na akili za kuelewa .
Labda nikutolee mfano utaelewa.
Nyumba kama hiyo Kenya inauzwajwe???
Nipe jibu.
Huwenda ukaelewa kwa mifano maana we ni akili mgando .
 

Attachments

  • Screenshot_2024-02-18-22-59-17-96_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    137.9 KB · Views: 18
Hukuwahi kuwa na akili za kuelewa .
Labda nikutolee mfano utaelewa.
Nyumba kama hiyo Kenya inauzwajwe???
Nipe jibu.
Huwenda ukaelewa kwa mifano maana we ni akili mgando .
This house is very ugly.
 
This house is very ugly.
Umeambiwa ujibu nyumba kama hiyo kenya ni shingapi??
We hiyo nyumba umeiona ndani??
Kwanza ni imara imejengwa kwa tofali la block tena limelazwa pili kenchi zake treated na ni nene .
Kenya nyumba kama hyo shingapi??
Lete jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…