The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Mandela anapewa heshima ambayo haimstahili kabisa ila ni wazungu ndio wanamhype sababu aliwafavor sana, Nyerere alitakiwa kuwa famous zaidi ya Mandela at least saivi ndio wanajua though wamechelewa na wanaenda taratibu
View: https://twitter.com/GovernmentZA/status/1759196730120118311?t=7OgylvyVr8M--oUTDjCpjA&s=19
Palipo na ukweli uongo hujitenga, Nyerere lazima apate anachostahili, ana makosa yake ya kibinadamu lkn mazuri aliyoyafanya ni mengi kuliko watakatifu wengi tu waliopita duniani, ni kama Magufuli, muda wake pia wa kuheshimika utafika na atapata stahiki yake.