Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

rice ugali mbeya cheap grade 5 rice
Mchele wa Mbeya kiafya ni mchele bora kuliko BASMAT NA VIP MNAOKULA KWASABABU ZIFUATAZO KAMA UMESOMEA FOOD SCIENCE:
1)Basmat hukaa muda mrefu kiasi na kuwekwa dawa ili ukae muda mrefu ilhali mchele wa mbeya hauekwi madawa ya ku preserve hivyo huui oryzenin nutrients zilizokua mule.
2)Mchele mzuri ambao unameng'enywa hata kiurahisi ni ule mlaini sio mgumu kama plastiki.
3)Mchele wa Mbeya una ladha ya asili kutokana na kutokuwa na madawa pia hata uupike kikawaida unapikika sio kama BASMAT MPAKA UTIE VIUNGO VINGI NDIO UPATE LADHA.
4)Mchele wa Mbeya unaweza ukaupika kwa mtindo tofauti ila wa Basmat kuna mtindo huwezi ukaupika mathalan pishi la NAZI HUWEZI UKAPIKA WALI WA NAZI WA BASMAT AU VIP.'JAPO SIDHANI KAMA KENYA PISHI LA NAZI MNALIJUA'
MKENYA TOKA LINI UKAJUA KULA VIZURI???
NENDENI ZANZIBAR kwa wanaojua kula vizuri BASMAT BEI RAHISI MCHELE WA MBEYA BEI YA JUU JIULIZE KWANINI??
 
Yaani niache kula kuku yenyewe nikale kuku aliyekandikwa unga wa ngano! 😂😂😂
Hawa wanaona kula pizza na kuku za KFC ni mafanikio makubwa.
Wakenya ni wajinga sana..

Yaani Ndio maana nimeshangaa sana wanajadili kula vizuri mbele ya Watanzania.

Watu ambao kupika chakula vizuri ni anasa, Watu wanaokula chapati na Dengu Mchana na usiku na kwenye harusi
 
Hizo ni cent ngapi? Please put it in simple terms.
Wakati bado unapiga domo sisi tunarudi penye tulikuwa before.

20240213_085743.jpg
 
Mfano mm siwezi kula chakula cha hivo
Jamani biashara za fast food sio lazima ziwe za Kfc we nyang'au.
Tanzania kuna makampuni ya fast food mengi tofauti na KFC.
Hata CITY MALL NA CITY GARDEN WANA FAST FOOD PIA.
Au we unashikilia KFC PEKEE NDIO INASTAHILI KUWA NA FAST FOOD??!!
Pia Tanzania asilimia kubwa tumezoea kula nyumbani vyakula vya kupikwa na wake zetu.
Fast food sio ishu TZ japo pia kuna kampuni tofauti tofauti.
 
Ray Kahuma really captured the brands ile fishing village ya ushamba ukiswahili haiwezani na modern trends


View: https://youtu.be/dqTYHw13c44?si=UWtyX4UcTmv6HU5Y

Ndio maana ushamba kuwatoka wakundustan inatakiwa 10 decades ndio muwe matured and exposed, sijawahi kuona watu washamba kama ninyi 😂😂😂 yaani kula KFC ni utajiri wa nchi? 🤣🤣🤣

Wazungu walinyofoa nini kipindi cha colonial rule? Lazima kuna kitu waliwafanyia either though vaccination au prolonged mass brainwashing, inferior and dumb as ***🚮🚮
 
Ray Kahuma really captured the brands ile fishing village ya ushamba ukiswahili haiwezani na modern trends


View: https://youtu.be/dqTYHw13c44?si=UWtyX4UcTmv6HU5Y

Msikilize huyu jamaa vizuri, anasema hicho chakula anachokula kwa Tanzania ni chakula cha very ordinary Tanzanians kiasi watu maarufu hawawezi kukila atharani, em angalia chakula chenyewe anachoongelea halafu jiulize mara ya mwisho wewe kukitia machoni ni lini 😂😂 Mzee Tanzania sio level yenu kwenye chochote kinachohusika na chakula


View: https://www.instagram.com/reel/C3KqLg0M0Z2/?igsh=aXZpb2p0bmJqanF1
 
Back
Top Bottom