President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Nurse kama Nurse.Nyinyi watanzania mnachekesha sana. So matunda na nyama vitu za less than 300 bob ndio unasema mtu anatakiwa atumie 30k shillings?
Yani hii thread watanzania wote ni vichaa😂😂😂🤣.
Nyama kilo moja Kenya kwa streets is around 600 bob, ndizi ni 10 bob, Machungwa ni 10 bob, pilau zinapikwa kwa streets at 100 bob per container. That food alone is not even 900 bob yet wewe unaongelea 30k😂😂
Msalimie Shakira.