Marcelly
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 3,152
- 9,571
Same hapa!Wallahi huyu mama kizimkazi ikatokea akaondoka 2025 NITACHINJA NG'OMBE.
Nitajipa likizo ya kutofanya chochote kwa siku 7.
Maybe in 50 years time tz will have such world class parades....siyo kuruka kama swara siku ya military parade
View: https://youtu.be/E_j3GAtnv4k?si=BcPQfD2cZTuKSykY
Mwisho wake huyu anayetoa taarifa naye atapelekewa moto, soon hutosikia taarifa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wameanza kunyoosha maelezo 🤣 🤣 🤣 🤣 Nadhani kipigo kinachoendelea huko siyo cha kitoto.
View attachment 2897011
La mamaayeeee nyani kashatema bungo hukoo.Wameanza kunyoosha maelezo 🤣 🤣 🤣 🤣 Nadhani kipigo kinachoendelea huko siyo cha kitoto.
View attachment 2897011
Hii account huwa siielewi vizuri, kuna wakati wanaonekana kama wako kwa wananchi ila kunawakai kama wanatetea kakikundi fulani.Wallahi huyu mama kizimkazi ikatokea akaondoka 2025 NITACHINJA NG'OMBE.
Nitajipa likizo ya kutofanya chochote kwa siku 7.
Duuu kwaiyo hili godown ndo arena kwa huko kibera?Ulinzi Indoor Arena proper terraces and seats, hakuna kukalia benches ndani ya exhibition hall. 😂 😂 😂 👇 👇
![]()
Nyuma apo kuna lundo la uchafu, ukibisha fanya kama unajikuna uone 🤣🤣🤣🤣🤣
Washaiga burju khalifa, tatizo lenu tu mnafanya kijua kali jua kali Kenya ni taifa lisilokuwa na innovative people 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
22. MILUNDIKWA JKT - SUMBAWANGA-RUKWA
View: https://youtu.be/juDXqw21a6U?si=SQJCCqkT-TLpZewA
View attachment 2896976
Cha ajabu strongest army kdf wanadundwa na wapokot hata Congo brigadier general wenu alivikimbia vikosi vyoteTag me the day that weak army will appear in top 20 strongest armies in Africa.
Quality house zipo kibera tuWatanzania hawajazoea quality houses. If you see the kind of houses in Dodoma zenye wanapigia kelele utacheka tu😂😂.
Houses in Tatu City
View attachment 2896247
Vs
Houses in Dodoma
View attachment 2896252