Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kariokor, gerezani, posta CBD, Kisutu, muhimbili, zote ndani πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ‘‡ πŸ‘‡ View attachment 2895198
Eastleigh + AirbaseπŸ‘‡πŸ‘‡

View attachment 2895201
We unajua umbali kutoka Posta mpaka kariakoo?
Posta yenyewe ni kubwa kabla hata hujaigusa kariakoo.
Halafu Gerezani ipo ndani ya kariakoo kama karume ilivyo ndani ya kariakoo,usizitenganishe.
 
MK254 umeona hii? Baada ya JWTZ kupiga m23 wameanza kulia? Wale mbwa Koko wenu walienda DRC kupaka powder badala kupiganaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sikilizia huu mziki wa JWTZπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ™πŸ™πŸ™




Mpaka wakenya wanajua jeshi lenu ni urojo tu mbele ya JWTZ

 
Hamna sport complex, iko wapi aquatic stadium na indoor arena?
Kwahiyo kuwa na indoor arena na aquatic stadium ndio kunafanya uwanja kuwa wa kisasa zaidi?
Nikutajie viwanja bora vya ulaya ambavyo havina hzo indoor wala aquatic stadium?
 
Ile kasarani hua munatuonesha ikiwa na makeup 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Pamechakaa utasema kabul
View attachment 2895177
Before you choke on your ego.. Kasarani is under renovation meaning this aerial video is very recent… the stadium roof and seats have been removed…. Hahaha so the joke on you!β€¦πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Naona umeanza kudata.
Au nikutajie hapo ni wapi???
Keko maduka mawili kuja Chang'ombe.
Au wataka tena ground photos?
Bongolala, that's not Dar is slum. Since when did vehicles start keeping right in Tanzania as seen in this photo?

When you want to lie, try and be a little bit smart
 
Yaani unataka kutuaminisha kuwa hakuna slums huko naipori sio. Mbona unaanza kuchekesha sasa?
Nani amekataa hakuna slus in nairobi? You think sisi ni kama nyunyi who thrive on living in denial?

Hata hiyo Mathare niliyoleta picha yake ni slum. The point is, some of our slums are way better than your uswazi hovels that you maintain are not slums.

Mathare slum again

Dar middle-class areas
 
Ungekua unajua meaning ya sport complex hungeuliza hio swali.
We kweli fala.
Tunazungumzia football stadium.
MOHAMMED WATANO wa Morroco hauna hivyo vitu ulotaja ila ni miongoni mwa viwanja bora vya mpira.
NOU CAMP Barcelona hauna indoor stadium wala aquatic stadium na ni miongoni mwa viwanja bora vya mpira.
Kiwanja bora cha mpira huangaliwa majukwaa,sehem za kubadilishia nguo,pitch ya kuchezea mpira,sehem ya matangazo na bench la ufundi.
Je kenya uwanja wenu uko bora katika hizo sehemu?
 
Ndio maana bado hujui maana ya sports complex. Bongolala, it's about SPORTS COMPLEX
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…