Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na hii sio mathare au ni kitu gani??πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Nani hajui kama mathare ni moja ya top 10 worse slums on planet au unataka ushahidi
View attachment 2894007
Naona Baraka medical center. I don't know what that is.

But assuming it's Mathare, what's the difference between it and this one?

VS
🀷🀷🀷
 
Si ndiyo wewe apo, teacher nicxie unamiliki gari yako ya mkopo ya mwaka 70 lkn unaishi Mathare 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Sawa kilaza wa Tandale
 
We kijana unachekesha.
Nyumba hununuliwa na matajiri wanaojenga nyumba za kupangisha na Plazas.
Hao raia wakishapewa pesa wengi wao huamia njia ya kwenda kusini na njia ya morogoro road.
Na watu wa pale Jangwani walipewa viwanja Bunju.
 
Hiyo Tandika.
Tandika unageuka kuwa mji wa kibiashara.
Kila siku huvunjwa nyumba kujengwa maduka na plaza ndogo ndogo.
Ntakuletea na Temeke.
 

Attachments

  • Screenshot_2024-02-04-16-33-21-54_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    64.1 KB · Views: 32
  • Screenshot_2024-02-04-16-34-28-40_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    78.5 KB · Views: 14
  • Screenshot_2024-02-04-16-33-42-58_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    109.4 KB · Views: 23
  • Screenshot_2024-02-04-16-32-56-32_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    80 KB · Views: 22
We kijana unachekesha.
Nyumba hununuliwa na matajiri wanaojenga nyumba za kupangisha na Plazas.
Hao raia wakishapewa pesa wengi wao huamia njia ya kwenda kusini na njia ya morogoro road.
Na watu wa pale Jangwani walipewa viwanja Bunju.
Nyumba ikishanunuliwa na matajiri hao masikini huenda kusini kuendeleza uswazi huko.

Assuming what you are saying is true, hebu tupe picha ya hizo plazas na nyumba mpya yaliyojengwa Mwananyamala for instance. I would prefer an aerial photo.

Secondly, ningependa pia kuona picha za mass demolition of uswazi hovels in those places to pave way for decent houses.
 
Hiyo Tandika.
Tandika unageuka kuwa mji wa kibiashara.
Kila siku huvunjwa nyumba kujengwa maduka na plaza ndogo ndogo.
Ntakuletea na Temeke.
I would prefer aerial photos. Secondly, the first two photos haina tofauti wowote na zile nyumba za uswazi
 
I would prefer aerial photos. Secondly, the first two photos haina tofauti wowote na zile nyumba za uswazi
Yale maduka kijana.
We umeona pale kuna nyumba chakavu???
Au kisa umeona miamvuli ya biashara?
Nakubali Temeke ilikua mbaya ila hurekebishwa kila uchwao.
 

Attachments

  • Screenshot_2024-02-04-16-42-57-39_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    85.3 KB · Views: 25
  • Screenshot_2024-02-04-16-43-56-15_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    97.9 KB · Views: 24
Kusini nyumba hujengwa kwa mipangilio.
Viwanja siku hizi vinapimwa hununui kiholela.
Unapoona hapo kote kumejengwa basi kulibomolewa kulikua na nyumba chakavu.
 
I would prefer aerial photos. Secondly, the first two photos haina tofauti wowote na zile nyumba za uswazi
Aerial view.
Halafu Temeke ni kubwa sana
 

Attachments

  • Screenshot_2024-02-04-16-53-49-47_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    85.4 KB · Views: 18
  • Screenshot_2024-02-04-16-53-17-50_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    87.2 KB · Views: 30
  • Screenshot_2024-02-04-16-51-46-18_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    75.3 KB · Views: 27
  • Screenshot_2024-02-04-16-51-06-83_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    88.9 KB · Views: 17
I haven't even mentioned Kibera ila wewe ushakuja na povu zako.

Kila siku nasemanga hapa kwamba mtanganyika akidhashindwa kwenye hoja, he'll resort to mentioning Kibera and that's exactly what you've done. Keep going bongolala
Tatizo lako ukweli huutaki hakuna mahali utakwenda kokote duniani ukakuta dar kuna slum, hakuna na hutopata 🀣🀣🀣🀣🀣

Wewe zungukaaa lakini ukweli utabaki palepale most of worse slums ziko africa na top ten of them nairobi imeingia mara 6 kama sio saba kwa idadi kubwa ya slums za kutisha duniani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Haya makazi hata ukimweka mbwa anaishi tanzania lazma afe usifanye mchezo, wazungu wanatoka kwao wanafunga safari badala kuja kushangaa wanyama maporini wanakuja kushangaa binaadamu wanavoishi



View: https://twitter.com/HivisasaKibera/status/725571515375312896?t=O35NuANS-BPP6WNzrwoYXw&s=19
View: https://twitter.com/Cloud9Wallet/status/1106450000186433536?t=RAREEl7n2pURNlfCpHlIfA&s=19
View: https://twitter.com/newsheadlines7/status/811969509540171780?t=Eqj89VjVTytGtjsaR_2k2Q&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…