President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,657
- 94,305
Swali kabla ya taifa la Israel mwaka 1945 nchi hiyo ilikuwa inaitwa nchi gani?Hakuna asiye muislamu anayeweza kukubaliana na utumbo huu, naomba uje kule husika achana na uzi usiohusiana....mtashindwa tu.
Umeulizwa infrastructure inafanya Mbeya iwe city, Sio infrastructure inayochanngia ukuaji wa Mbeya. Understand the question.Acha nikuelekeze.
Hiyo ni miundombinu ya kiuchumi iliochagiza pesa za kukua kwa mji wa Mbeya.
Na mbeya mjini hiyo hapo
Ngoja niingilie hili suala.Umeulizwa infrastructure inafanya Mbeya iwe city, Sio infrastructure inayochanngia ukuaji wa Mbeya. Understand the question.
Kaka hayo yote nimeyaeleza.Ngoja niingilie hili suala.
Vitu vinavyofanya mji uitwe jiji ni moja ya vifanyavyo:-
1. Population kuwa kubwa katika mji
2. Shughuli za uchumi kuwa kubwa.
Infrastructure ni matokeo ya mambo hayo mawili niliyoyataja. Infrastructure siyo sababu ya msingi eneo husika kuitwa City.
Uliza swali lako sasa la mzingi tuanze kuiongelea mbeya kwanini ni jiji.
Mji unaitwaje mji kama sio uchagizaji wa ukuaji??Umeulizwa infrastructure inafanya Mbeya iwe city, Sio infrastructure inayochanngia ukuaji wa Mbeya. Understand the question.
Akiona ID yangu lazima awe mdogo kama mchwa. Nilishawahi kumyoosha kwenye mtandao wa wanaijeria unaitwa Nairaland na huko SkyscraperCity. Ananiogopa mno. Sasa hivi atakimbia hutamuona tena atakuja na IDs zake zingine.Kaka hayo yote nimeyaeleza.
Mwenzie Nexcie kaelewa,ila huyu jamaa kichwa ngumu.
Mtasumbuana,unachojaribu kumueleza nishamueleza toka nyuma.
Kwani wewe ni mkatoliki?
Ni nini tofauti ya crusade and jihad?
Catholic ndio wameua watu wengi sana duniani kwa kuwalazimisha waifuate dini yao.
Bahati mbaya sana kwa miaka hii wapo na upinzani mkubwa sana wa
1. Protestant Religions
2. Orthodox
3. Islam
4. Hindu
Na dini zingine nyingi tu.
Unatakiwa uwe upande wa faida.
Swali kabla ya taifa la Israel mwaka 1945 nchi hiyo ilikuwa inaitwa nchi gani?
Baada ya Wayahudi kuchinjwa huko German suggestions zipi zilitolewa kuhusu Israel? Je, unajua Uganda nayo ilikuwa kwenye suggestions hizo?
Namalizana na wewe hapa hapa. Maana umekuja kwa namna hiyo.
I AM A TEACHER NAKUPIGA NA KUFUNDISHA.
Nimekuuliza Do you know about Crusade and Jihad?Mnachinja watu mnaanza kutaja taja Wakatoliki, uislamu ndio kero dunia hii na ndio unaua watu kwa maelekezo ya 'mungu' wenu.....
Mababu za wabantu walizaliwa East Africa?Jina la nchi halihusiani, pale wamezikwa mababu wa Wayahudi hata kabla muarabu hajabuni dini yenu.
Kwa hivo Tuite sehemu isiyo mji, mji Kisa ina vichochea uchumi ama unamaanishaje? Tuite Serengeti jiji? Mt. Kilimanjaro pia Tuite jiji? Selous National park nayo pia mji? Hilo bwawa la JNHHP Tuite Jiji pia? Wacha kufikiria kwa mavi mjikoni.Mji unaitwaje mji kama sio uchagizaji wa ukuaji??
Uchagizaji wa ukuaji wa sehem ni sababu moja wapo inafanya mji kuwa mji .
Au mji unaota tu kama kisamvu??
Au infrastructure zinajengwa pasi na kutizama purpose?
Mzee unaleta ubishi wa kipumbavu.Kwa hivo Tuite sehemu isiyo mji, mji Kisa ina vichochea uchumi ama unamaanishaje? Tuite Serengeti jiji? Mt. Kilimanjaro pia Tuite jiji? Selous National park nayo pia mji? Hilo bwawa la JNHHP Tuite Jiji pia? Wacha kufikiria kwa mavi mjikoni.
Hehehe kwa sasa hivi niko busy kupambana na magaidi ya dini yenu...
Nitakuja kuteleza kwa SGR ya umeme kwenu huko, natumai mpaka sasa mumeitumia hadi mumekinai.
Ahsante, I'll try to keep up.Usipotee sana, huwa unaleta ka mzani fulani (invisible) hapa.
Hizi chuki ndo mmekaririwa tangu utotoni hadi kuzaisha magaidiTatizo lako unadhani wanaochukia vitendo vya Israel ni waislam. No no no!
Ninge kufundisha history, tatizo kichwa chao hicho kimejazwa takataka.
Kwa kifupi tu. Hao wanaojiita Israel siyo Jews bali ni wezi toka UK na USA wenye lengo la ku cotrol mashariki ya kati.
Niite kaka nikuletee full picture.
Tumekaririshwa na nani? South Africa wamewashitaki Israel je, wamekaririshwa na nani?Hizi chuki ndo mmekaririwa tangu utotoni hadi kuzaisha magaidi