Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo nimepata facts ambazo nilikua sizijui!! Kibera is 6% ya area ya Nai and 60% ya wakazi wa Nairobi wana ishi Kibera!

Only 20% ya wakazi wa Kibera wana access ya Electricty!

So more than 40% ya wakazi wa Nai hawana access ya umeme!

I am shocked!! I hope this is not true.
 


Live Opening Ceremony.....

MLO4.jpg

Hiyo Hospitali sio mchezo, yakisasa haswa, ni South Africa tu, na Ghana nao wamefungua yakwao juzijuzi.
 
Upanga tunapatia Braxton estate ya Mombasa......


hii ndio tunaambiwa ni Mombasa mzima....hehehe
b63330deed6eb109d357423c43781abf.jpg
 
Upanga tunapatia Braxton estate ya Mombasa......


hii ndio tunaambiwa ni Mombasa mzima....hehehe
b63330deed6eb109d357423c43781abf.jpg
Umepostiwa picha za Upanga mpaka basi, hiyo picha ni ya jangwani buddy. Jangwani is a border between Ilala district and Kinondoni and there's river flow path that is Msimbazi river au hata huoni headquarter ya Young Africans S.C ambayo nickname yao ni watoto wa jangwani
 
Back
Top Bottom