El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
pata kionjo cha Eldoret.....Wewe tulia hiyo eldoret ndio kijiji gani wewe tanzania iko vizuri sema hatunaga mambo ya kujipigisha picha kama huko kenya mtu akienda hadi chooni picha sisi huku kimya kimya miji karibu mia inayo eleweka sio huko vichakani kwenu