Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania nimewitness wako comfortable sana na umaskini..... .wame embrace umaskini wao kabisa .No wonder they can't dare challenge their government.......Kenya mtu anafanya juu chini kujiinua kimaisha....
Ukiona hata hapa east Africa of the total 29 million middle income earners..Kenya accounts for 47% of the total .Most of those people hawangojei serikali kuwabadilishia maisha kama Tanzania.......Kwanza apartments and estates in Kenya are owned by individuals through saccos,companies and private individuals.That's why Nairobi has uncountable estates......hawa jirani wetu bora kanyumba cha kiswahili au udongo na dagaa ugali maisha amemaliza
 
Kawe Satellite City

upload_2017-11-25_10-39-25.png

maxresdefault.jpg

kawe711-jpg.454640
 
Mimi ninadhani ni jambo jema kama mpinzani wako atakuchallenge muda wote ili uzidi kujirekebisha, ninashangaa kwanini mnashindwa kutafuta matatizo ya Tanzania na kuyaleta ili tujitathimini badala yake mnakazania GDP na LCD pekee, ningefurahi zaidi kama na ninyi mungeibua matumizi mabaya ya serikali ya Tanzania, au rushwa kama hivi nilivyowaonyesha ili tujitathmini badala ya kuwa protective na kulalamika, Tanzania and Kenya are siblings, rivalry is unavoidable.
Si utulie basi aiseh, nimesema Tanzania hamna shida, sawa?
 
Watanzania nimewitness wako comfortable sana na umaskini..... .wame embrace umaskini wao kabisa .No wonder they can't dare challenge their government.......Kenya mtu anafanya juu chini kujiinua kimaisha....
Ukiona hata hapa east Africa of the total 29 million middle income earners..Kenya accounts for 47% of the total .Most of those people hawangojei serikali kuwabadilishia maisha kama Tanzania.......Kwanza apartments and estates in Kenya are owned by individuals through saccos,companies and private individuals.That's why Nairobi has uncountable estates......hawa jirani wetu bora kanyumba cha kiswahili au udongo na dagaa ugali maisha amemaliza

Kenya People living below the poverty line: 46%
KE_Pic4616b.jpg

UNICEF - Overview - Kenya at a Glance
 
Si utulie basi aiseh, nimesema Tanzania hamna shida, sawa?
Mbona ninyi mlipiga kalele sana pale ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uliposimamishwa kwa muda na kutucheka kwamba tumeshindwa kuijenga, sisi tulivumilia wakati ule, na ninyi vumilieni, hiyo ndiyo maana halisi ya utaji wa jadi, mwenzako akikupatia anakubana kwelikweli, vumilieni tu, ila pia ninafasi nzuri ya kujitathmini ili uzudi kujirekebisha
 
The first picture is nice yeah, but apparently that's the only development in the entire Dar, you send the pictures day in day out about that specific region only, how about the other 98%?are you afraid you will expose yourselves?
We all know what's just behind those fancy buildings at the second and 3rd pictures
mimi nataka kukufahamisha kitu kimoja kuhusu dar, dar kuna barabara nyingi sana zinazozunguka mji kuliko nairobi hilo kwanza ufahamu na kila siku wanajenga barabara mpya ambazo zilikua hazipo😀😀😀😀
 
mombasa vs dar

this thread is an insult to nairobi
hakuna siku ata moja dar imefika level ya Nai
 
Pamoja na mengi aliyoongea Balozi wa Korea ni pamoja na kusema Daraja la Baharini from Oysterbay to Ocean Road litaanza kujengwa 2018.....!
 
Pamoja na mengi aliyoongea Balozi wa Korea ni pamoja na kusema Daraja la Baharini from Oysterbay to Ocean Road litaanza kujengwa 2018.....!
ndio linaanza january na hilo daraja litakua na urefu wa km 7.2 na litakua na njia 8
 
Back
Top Bottom