COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
The biggest port in Africa after Durban
Pia ameongelea kuhusu ku support ujenzi wa SGR.. ila sija jua kwa upande upi.Pamoja na mengi aliyoongea Balozi wa Korea ni pamoja na kusema Daraja la Baharini from Oysterbay to Ocean Road litaanza kujengwa 2018.....!
kaongelea leo au???Pia ameongelea kuhusu ku support ujenzi wa SGR.. ila sija jua kwa upande upi.
Hahaha nawachia hapoMombasa haiwezi hata kupambana na Arusha kabla hujafikia hata Mwanza
Mwanza:
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Amazing...ndio linaanza january na hilo daraja litakua na urefu wa km 7.2 na litakua na njia 8
Kama ni kweli Kila Mkenya anajishughulisha kujiinua kimaisha, where do we get these 42% Kenyans living below poverty lines?Watanzania nimewitness wako comfortable sana na umaskini..... .wame embrace umaskini wao kabisa .No wonder they can't dare challenge their government.......Kenya mtu anafanya juu chini kujiinua kimaisha....
Ukiona hata hapa east Africa of the total 29 million middle income earners..Kenya accounts for 47% of the total .Most of those people hawangojei serikali kuwabadilishia maisha kama Tanzania.......Kwanza apartments and estates in Kenya are owned by individuals through saccos,companies and private individuals.That's why Nairobi has uncountable estates......hawa jirani wetu bora kanyumba cha kiswahili au udongo na dagaa ugali maisha amemaliza
Thread zenye ushindi mwepesi huishia page ya kumi tu!!Hayo mawazo yako mgando hayabadili kitumombasa vs dar
this thread is an insult to nairobi
hakuna siku ata moja dar imefika level ya Nai
Upanga inamajengo makubwa kuliko entire Mombasa,natoa marks kwenye port, hotels na beach, but has got no density at all, the battle btn Nai and Dar haiko hapa kimakosa!!Mombasa
......
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Mombasa raha kweliMombasa
......
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()