Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongolala hua munaambiwa mama yuko kazini, sisi hiokazi tulifanya miaka mitano iliyopita. ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Image


Image
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Unaongea upumbavu gani wewe, kwamba CT scan tumeanza kununua mwaka huu. ?
Kama muna 45 pekee na Mama amenunua 35, si umepata jibu. ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ Maghu akiwa hai, Marsabit ilikua na CT Scan.
Image
 
Kuna nchi nzima ya over 60 million people ina MRI machines 13 pekee. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ Wakifika hii level hatutapumua.

View attachment 2890002
MRI za private hospitals 70% zipo naislum, hizo 13 ni MRI za serikali zilizonunuliwa ndani ya mwaka mmoja, bado zilizokuwepo before na private hospitals, yaani Kunyaland ninyi bado sana
 
Back
Top Bottom