ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,470
- 88,594
Wizara ya Afya iweke Malengo walau Tanzania tupambane kufikia 2030 tuwe na Wageni 500,000 wanaokuja kusaka matibabu.
Watu Wetu wakasome Ubobezi na uzuri Rais amewapa scholarship waende India,Israel,Cuba,Tunisia,China nk.
Hongera sana Tunisia 👇👇
Watu Wetu wakasome Ubobezi na uzuri Rais amewapa scholarship waende India,Israel,Cuba,Tunisia,China nk.
Hongera sana Tunisia 👇👇