Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This is a list of Slums in Nairobi
  1. Kibera
  2. Mathare Valley
  3. Dandora
  4. Kawangware
  5. Korogocho
  6. Mukuru kwa Njenga
  7. Bondeni
  8. Corner Mbaya
  9. Ghetto
  10. Gitathuru
  11. Grogon Huruma
  12. Kahonoki
  13. Kambi Moto
  14. Kosovo
  15. Kwa Kariuki
  16. Madoya
  17. Mahira
  18. Mlango Kubwa
  19. Mabatini
  20. Redeemed
Haya ma slum yote yamezunguka kamji kadogo left and right na bado kuna fala anajinasibu kuiponda Dar eti imezungukwa na mashamba.
 
Haya ma slum yote yamezunguka kamji kadogo left and right na bado kuna fala anajinasibu kuiponda Dar eti imezungukwa na mashamba.
Ndio maana mie nikamsisitiza kheri vikindu ina mashamba ila kuna nyumba nzuri ,usafiri uhakika,huduma za kijamii nzuri na vyakula vya uhakika.
Ila ukitizama wao hayo maisha SIJAWAHI YAKUTA POPOTE HAPA TANZANIA SIO TU DAR.
Hiyo kiwalani yenyewe tatizo ni madampo tu ila hakuna nyumba za bati chakavu kama hizo.
Hata Tandale na Buguruni shida ni mfumo wa maji taka tu ila nyumba za tofali japo za zamani.
 
Capitalist anaekufa kwa njaa
Capitalist anae ongoza kwa slum Dunian
 

Attachments

  • Screenshot_2024-01-31-14-46-31-75_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    34.5 KB · Views: 19
Wao wamezoea nairopori inabebwa na county zingine sisi huku kila mkoa unajitegemea
 

Attachments

  • Screenshot_2024-01-31-14-54-05-89_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    71.9 KB · Views: 15
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…