Na marhem mama yake amefia tanga mwaka juzi na alimjengea mama yake nyumba ya adabu ya kifakhari sanaMzee Owner wa TAHMEED anaitwa Seif Nassor Salim.
Ni mkazi wa Tanga Tanzania.
Hiki kijiji pia wabongo wanatuambia ni urban area. Mashamba ya mihogo yamejaa Dar is a slum. 😂 😂 😂
View: https://youtu.be/C3-MP1CS65w?si=oPhmoPArZy76dTLj
kunyaland mnatuwakikisha vizuri nawashukuru kwa hilo 😎😎😎
View: https://x.com/matinyarare/status/1618197477638942720?s=46
Hamna uwezo wa ku own buses nyie 🤣 🤣 🤣Lia zaidi. Tahmeed are Kenyan buses.
Hamna uwezo wa ku own buses nyie 🤣 🤣 🤣
Ukipata Company Kenya ina mabasi mengi kama haya niite mbwa
View: https://youtu.be/rVe7w0FylNM?si=iUoy43p4aJHqElwE
Chinese boxes😂😂🤣 🤣 🤣 Design za kizama kweli
Check vyuma mdogo wangu
View attachment 2887363
View attachment 2887362
View attachment 2887358
View attachment 2887359
Wewe endelea kuosha vidonda tu. Unasahau hata train zenu ni Made in ChinaChinese boxes😂😂
Mzee Owner wa TAHMEED anaitwa Seif Nassor Salim.
Ni mkazi wa Tanga Tanzania.
I thought ungenionyesha graph that also includes Tanzania 🤣🤣🤣😂.Wewe endelea kuosha vidonda tu. Unasahau hata train zenu ni Made in China
GTC is made in China. Ushamba unakusumbua.
View attachment 2887376
Ukipata Company zaidi ya tano zina website hapo kenya niite mbwaKenyan built.
View attachment 2887371