President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,091
- 93,504
Bado hujaweka maeneo ya makaburi au hawana sehemu za kuzikia?So chukua 696 toa 117 = 579km sq
Chukua 579km sq toa misitu ya wakubwa ambayo ni over 200km sq 😅😅😅😅
Area Iliyobaki ndio nairobi city, wapo wakaza fuvu, wanyama, mifugo, kunguni, na flying toilet also😅😅😅😅