Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jeshi la kenya lilienda hakuongea chochote. Wazee wa kazi wameingia ameanza kuhaha.

Hakuna mtu anayekuja kuivamia Rwanda. Watu wameingia Congo kuwaondoa M23. Yeye anahaha nini? Mbona Burundi, Tanzania na Uganda Tutsi wapo?

Atulie hivyo hivyo wanaume wafanye kazi. Burundi tayari eshafunga mpaka. Silaha zitapitia burundi. Zitaenda Congo.
 
Huyu kunguru anasumbua sana DRC ni muda sasa ashughukikiwe ipasavyo, anayeenda kupigwa ni M23 ni nini kinamfanya abweke ovyo!
 
Of course, there is only one Kenyan on this thread with different names. Wakenya hatuna wakati na hii thread. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Hii thread imeleta mabadiliko makubwa. Ulikuwa unazunguka kwenye mitandao kuikandia Tanzania. SkyscraperCity, Nairaland nk.

Kwa sasa umekuwa mpole. Tunakunyoosha.
 
Hahaha, good. But hii mmeipost sana tangu enzi zile. Ebu nipostie nyingine, maanake hapa nairobi nikianza sitamaliza.
Eti nairobi nikianza sitamaliza, kuna kipi kipya utapost hatukijui, atleast sisi watz tunaweza kupost miradi mipya ila nyie wakenya hamna jipya, daily westland, upper hill unamalizia na gtc 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Unafananisha bungalow za kwenu na makaazi ya mtu wa Chini Nairobi, hivi nikikupoostia nyumba za kwetu ushago utasemaje? 🀣 🀣
Mfano hii

Sasa unafikiri hizo bungalows ni za matajiri? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hizo ni nyumba za watu wa kawaida na ndio nyumba za uswahilini hizo kuanzia million 13 unanunua 3 bedroom house, 825k Kunyaland madafu, Kunyaland is impossible

Hizi ni nyumba za uswahilini lakini Kunyaland ni nyumba za vibopa na huwezi kuzipata bila 6 million KES kuendelea
 
Ugly designs. We don't do this. Our normal man's bungalows look like this with large windows.
 
Tofauti nyingine utatoka Nairobi upite caunties nyingine 5 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Boundaries don't matter. What matters is you'll be driving through a continuous urban area for over 80km just to cross Nairobi - something you can't find in Tanzania. 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…