NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,081
- 19,295
Ushaanza kurudia majengo.😂Dar is blue. Nairobi is ugly.
View attachment 2885076
View attachment 2885077
View attachment 2885078
View attachment 2885079
Ushaanza kurudia majengo.😂Dar is blue. Nairobi is ugly.
View attachment 2885076
View attachment 2885077
View attachment 2885078
View attachment 2885079
Mzee ndio unagutuka sasa hivi? Wenzako jana walikimbia. Wakaanza kuuliza maswali ya kitoto.Ushaanza kurudia majengo.😂
Hapana siyo mkenya. But wakati anaigiza alikuwa anajifanya mkenya. I know her.Tena huyo dokee ni mkenya 😅😅
Mpumbavu wa ukoo wa sadima maneno mengi ni ya nini!Let’s make a bet.. if I prove it ufunge account walahi… I know someone in the Kenyan squad there… I dare you.. declare here that utafunga account…na sio ujinga wenu wa empty words . Am waiting for your response…
Hapana siyo mkenya. But wakati anaigiza alikuwa anajifanya mkenya. I know her.
Ni comment tu bradhee. Nilikuambia Sina time na huu upuzi. We've done it over and over and it's no longer making any sense. Just do your research and make whatever conclusions make you happy.😃Mzee ndio unagutuka sasa hivi? Wenzako jana walikimbia. Wakaanza kuuliza maswali ya kitoto.
If you are ready, choose something so that we can fight.
Kuna kundustan mmoja alisemaga kikuyu villages are the most wealthiest villages in Africa 😂😂😂 lakini ndio most jiggers infested villages kwa ground na wanapokea food donations on daily basis hawana barabara za lami wala umeme wala tap water
Kunyalanders let me tell you something, kisa watanzania sio talkative na braggers kama ninyi haimaanishi mmetupita kimaisha, hizi villages vingekua Kunyaland vingekua kila mahali on social media kwanza content creators wangepigana vikumbo lakini in Tanzania ni jambo la kawaida na husikii watu wakijitapa
View: https://youtu.be/ya22_bdRUwA?si=FPtU4EquecQ5UmMF