Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Proudly produced in Kenya by Kenyans for Kenyans.
View attachment 2884705
Mambo haya yananifanya nitokwe na machozi? Kwanini binadamu wanaishi kama wanyama?

1706370625244.png
 
Nataka nikufundishe mapishi ya mchele. Maana inavyoonekana hujui kupika
Wali wa kawaida
Wali wa kukaanga
Wali wa nazi
Wali wa manjano
Pilau wa kuku
Pilau wa nyama
Pilau wa mboga
Pilau wa maharage
Biryani ya kuku
Biryani ya nyama
Biryani ya mboga
Biryani ya maharage
Wali wa nazi na sukari
Wali wa maziwa na sukari
Wali wa zabibu na sukari
Wali wa tende na sukari
Unaahangaika na watu wanaita wali Michele! Hawajui tofauti kati ya ubwabwa na wali na mchele na mpunga! Mtu anakwambia napika mchele au nalima mchele!
 
Hiyo ni assembling wewe nyangau sio manufacturing.
Who said we manufacture? I have been singing here the phrase "Built in Kenya by Kenyans for Kenyans" all along. Ama umekuwa ukilala?😂😂
Screenshot_20231111-155455_1.jpg
 
Is this building beautiful.? 😂😂😂👇View attachment 2884716hii gorofa inakaa Giza pyramid. 😂😂😂😂. Kenya kuna majengo marefu mazuri than Tanzania ? Heb twende ground we kima ..uone kama utatoboa hiyo battle.
Is there any building in Tanzania yenye ishashinda tuzo la gorofa bora Africa? Kama Iko tuonyeshe😂
 
Who said we manufacture? I have singing here the phrase "Built in Kenya by Kenyans for Kenyans" all along. Ama imekuwa ukilala?😂😂
View attachment 2884722
Kijana Tanzania ipo na zaidi ya 1,000 Bus Companies.
Usilazimishe tulingane Kenya upande wa Transport bado sana.
Trasport inaanzia kwenye Infrastructure ya Stand.

Magufuli Basi Stand

1706371873269.png


1706371933642.png
 
Back
Top Bottom