Marcelly
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 3,156
- 9,577
Pilau sasa hivi tunaita PIDO
Nataka nikufundishe mapishi ya mchele. Maana inavyoonekana hujui kupika
Wali wa kawaida
Wali wa kukaanga
Wali wa nazi
Wali wa manjano
Pilau wa kuku
Pilau wa nyama
Pilau wa mboga
Pilau wa maharage
Biryani ya kuku
Biryani ya nyama
Biryani ya mboga
Biryani ya maharage
Wali wa nazi na sukari
Wali wa maziwa na sukari
Wali wa zabibu na sukari
Wali wa tende na sukari