Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuanze kwenye Blue Towers
1. PSSSF Tower
1706373309266.png


1706373334410.png
 
Kaka usiwe na wasiwasi huyu namuweza vizuri sana tu. Hapa namchokoza ili aje. Usiwe na wasiwasi na mimi. Naweka picha strategically hatutaki kuwapoteza. Maana wanaweza kususa 🤣 🤣 🤣
Hahahaha sikujua kumbe unamrushia chambo 😂😂😂 keep up the good work bruh. Me natulia, nakunywa zangu soda baridi.
 
Back
Top Bottom