Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unasema Jesus Christ wakati hujui history.

Soma kuhusu Cyrus the Great.
Halafu uelewe.
Kisha uje ujifunze kuhusu Mongols.
Kama huelewi hilo utakuwa wewe ni mjinga wa kwanza.
Turkic siyo wazungu.
Whatever shit y'all are trying to say here ni mavi tu. You think I will start reading about Cyrus motherfvvcker while clearly, Turks are not Persians? So reading about Cyrus the Great makes Turks Persians?
 
Did you just say Persian is an official language in Turkey? Unataka kujifanya unaongea sense lakini deep down unajua hakuna kitu unasema. This must be a serious mental illness. May God heal you son
Unajua kusoma vizuri???
Nimekuambia Kituruki kinatumia asili mbili ya lugha kifursi na kikudsi.
Kifursi na kikudsi ni lugha mama za kiajemi.
Unajua maana ya lugha mama???
 
We fala Turkiye ilipohama kutoka Central Asia miaka 4000 iliyopita ikafikia ANATOLIA AMBAPO PALIKUA MAKAO MAKUU YA PERSIA EMPIRE.
PALE WALIZALIANA NA WAKACHANGANYIKA.
NA PERSIA DESCENDENT NDIO UZAO MKUBWA UKAUMEZA ASILI YA KITURUKI NA WOTE KUJULIKANA KAMA PERSIA.
HATA HIYO ALI SELJUK ILITWALIWA KWA NGUVU ZA PAMOJA ZA PERSIA AMBAPO MAKAO MAKUU YAKAWA ANATOLIA PERSIA YA ZAMAN
All this is nonsense, can't waste my time reading all that bullshit.
 
Kasome ujio wa Turkiye toka Central Asia 4000 years ago.
Kasome Anatolia iliyokua makao makuu ya Persia ilibadilikaje kuwa makao makuu ya Turkiye na wote kuwa uzao mmoja.
Kafuatilie lugha asilia za kituruki na kiiran FURSI NA KUDSI ndio urudi hapa.
Bado mtoto sana kihistoria.
 
Unajua kusoma vizuri???
Nimekuambia Kituruki kinatumia asili mbili ya lugha kifursi na kikudsi.
Kifursi na kikudsi ni lugha mama za kiajemi.
Unajua maana ya lugha mama???
Wewe ni umbwa sana. Sio wewe ulisema Turks are Persians? And just trying to beat around the bush with nonsensical bullshit just to sound smart. Turks and Persians are not similar in any way. Neither is the Turkish language related to Farsi in any way
 
NA KATIKA MISAMIATI IRAN NA TURKIYE WANALANDANA KILUGHA.
Why don't you provide credible sources of all this information you are giving? So because you say Turks and Persians are similar we should now believe you Mr. Genius?
 
All this is nonsense, can't waste my time reading all that bullshit.
Hujui historia wewe.
Lugha asili ya kituruki inatumia Fursi na kudsi.
Hizo romanized alphabets zimekuja baada ya muingiliano baada ya Ottoman empire.
Acha ku google kijana.
SOMAAA.
 
Whatever shit y'all are trying to say here ni mavi tu. You think I will start reading about Cyrus motherfvvcker while clearly, Turks are not Persians? So reading about Cyrus the Great makes Turks Persians?
Tell us where does Persian come from? And Where Turkic come from?

Acha kutukana ovyo ovyo hapa tunajadiliana.
Wewe leta hoja yako tu. Weka proofs.
 
Hujui historia wewe.
Lugha asili ya kituruki inatumia Fursi na kudsi.
Hizo romanized alphabets zimekuja baada ya muingiliano baada ya Ottoman empire.
Acha ku google kijana.
SOMAAA.
Again, you just want to look like you are too smart but deep down unajua unaongea tu mavi
 
Wewe ni umbwa sana. Sio wewe ulisema Turks are Persians? And just trying to beat around the bush with nonsensical bullshit just to sound smart. Turks and Persians are not similar in any way. Neither is the Turkish language related to Farsi in any way
😂😂😂😂😂😂😂
Husomi kwa kuelewa unakurupuka.
Wafursi ni moja ya jamii ilioko Uturuki.
Kwani muingiliano wa jamii hauzalishi jamii mpya?
Khoi khoi walikua jamii ingine wakaingiliana na San wakawa jamii moja ikaja itwa khoi-san.
Ni kma ilivyo jamii ya turkiye ilimezwa na jamii ya persia.
Na wote ni kitu kimoja kwa kuingiliana kwao.
 
Tell us where does Persian come from? And Where Turkic come from?

Acha kutukana ovyo ovyo hapa tunajadiliana.
Wewe leta hoja yako tu. Weka proofs.
Hana alijualo anaenda ku google anakuja na taarifa nusu nusu hapa.
😂😂😂😂😂😂😂😂.
 
😂😂😂😂😂😂😂
Husomi kwa kuelewa unakurupuka.
Wafursi ni moja ya jamii ilioko Uturuki.
Kwani muingiliano wa jamii hauzalishi jamii mpya?
Khoi khoi walikua jamii ingine wakaingiliana na San wakawa jamii moja ikaja itwa khoi-san.
Ni kma ilivyo jamii ya turkiye ilimezwa na jamii ya persia.
Na wote ni kitu kimoja kwa kuingiliana kwao.
So you are now changing goal posts? You started by saying Turks are Persians. Now sasa imekuwa muingialiano wa jamii. Spare me of any more bullshit please
 
Hana alijualo anaenda ku google anakuja na taarifa nusu nusu hapa.
😂😂😂😂😂😂😂😂.
Actually, you are the one coming with half baked information here. Turks are not Persians and they are not related in any way. You can take that to the bank
 
So you are now changing goal posts? You started by saying Turks are Persians. Now sasa imekuwa muingialiano wa jamii. Spare me of any more bullshit please
Huelewi ukisoma.
Waturuki ni waajemi.
Je wamekuaje waajemi?
Wamekua waajemi kwa muingiliano na uajemi.
Kama khoi khoi walivyoungana na San kuwa khoi-san.
 
Mavi hii, ulisema Turks are Persians. Unadhani sisi ni wajinga kiasi gani? People from your country are praising you thinking you are a genius kumbe wewe ni ng'ombe tu
 
Actually, you are the one coming with half baked information here. Turks are not Persians and they are not related in any way. You can take that to the bank
Mimi nimesoma kwa hao watu.
Sijaenda ku google kama wewe.
Nimesoma tena shule zao kijana na nikakaribia kujua lugha zao.
 
Back
Top Bottom