Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unadhani kuna barabara ya vumbi kama kwenu dar is a slum. Pole sana. 😂 😂 😂

Gallery – Broadwalk Mall
Hapo kuna barabara moja tu, chini kuna tope na mpaka kesho mnasubiri mchina awajengee🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Angalau mnatupa nguvu ya hiyo 2027, maana hamueleweki kabisa.
Hawatoandaa afcon hata iweje, hawana uwezo huo, mpaka sasa hawana lengo lolote la kujenga uwanja, ni vile tu wameona aibu Tanzania, na uganda wamefanya ukarabati mkubwa wa viwanja vyao ndiyo nao wakaona wajibane bane wafanye hiyo jua kali renovation, hawana guts za kuandaa afcon, fainali hizi tutaandaa wenyewe.
 
Back
Top Bottom