ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,489
- 88,633
Naona unakuja kwa kuvizia. Na huweki apartmentsHapa utakimbia mwenyeweView attachment 2877963View attachment 2877964
Former Ministry of Water Tanzania buildingMinistry of Water 🇹🇿
View attachment 2878074
Ministry of Water Uganda
View attachment 2878075
Ministry of Water Kenya 🤣
View attachment 2878076
What do you understand by high-end? Those are not luxurious apartments.Embu weka na zile apartments za pipeline tuzione pia 😁
These are not apartments 😂😂Naona unakuja kwa kuvizia. Na huweki apartments
Tanzania 12, Kenya 5
Highland - Dar
View attachment 2878072
View attachment 2878079
View attachment 2878080
Sindano imeanza kuingia. Vumilia nakupatia dawa. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Na bado ndio nimeamka tu. Chupa limeamka na chai. Utanikoma leoThese are not apartments 😂😂
Demu wako amejazia supu
Si umeona hata barabara yenyewe hawezi vuka hapo mwenyekiti 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Hvi elimu ya kenya hua inawasaidia nn kuvuka barabara tu au😅😅😅
View attachment 2878150
Maendeleo machache ya JPM 😁😁😁😁Mama anachezewa sana na hawa watu na ndiyo maana wanataka aendelee ili wazidi kuichezea wanavyotaka, kwa jinsi hali inavyoendelea ni kwamba hata jnhpp likianza uzalishaji (limeshaanza) bado umeme utaendelea kukatika katika, haya maendeleo machache ya kweli ni kwasababu alipita mzalendo na ndiyo maana wakalazimika kuendelea kufanya kama alivyokuwa anafanya mzalendo japo speed yao ni ya Kobe.
Bro, believe me kama Magufuli asingepita nchi hii tungeendelea kuletewa neti kwa msaada wa watu wa Marekani mpaka leo.