Tazara si inapita Makambako?Hiyo ya Mtwara-MbambaBay Wala Haina shida Kwa sababu inailenga zaidi Mikoa ya Kusini ya Tanzania na Malawi ila Ina bottleneck kubwa ya Ziwa.
Pili Hii ya Makambako -Mtwara ni muhimu zaidi kuisaidia Bandari ya Dar
Umenifanya nikumbuke maneno ya Magu, "sisi ni matajiri".Ngoja vile vi regional jets vyao viokoteze mzigo from Uganda, Cameroon sudan congo na kila mahali walete JKIA sisi tuupeleke Dubai, mumbai, Guanzhou, japan etc
Onaongelea ile waliyosema inaleta silaha ila wanzugia kusafirisha sangara?Design capacity yake ni 60 tons ila operating capacity ni 58tons
Pia mauzo ya nyama nje ya nchi yameongezeka sana mzigo upo wa kutosha tuu just one more freighter 767 300F itatutosha kwa sasa in the near term.
Nakumbuka huko nyuma ndege za kirusi Tupolev na Antonov zilikuwa zinachukua minofu mingi ya samaki mwanza vipi vile viwanda bado vipo na mzigo bado upo au?
Yeah kila wiki zilikuwa zinakuja nyingi tuu sasa sijui viwanda bado vipo ama vipi?Onaongelea ile waliyosema inaleta silaha ila wanzugia kusafirisha sangara?
Hayo bila shaka yatakuwa madawa ya TB 😁
Ni sahihi kusema at any one point wanaweza wakawa 120 sisi tukawa 180 au wakawa 150 na sisi tukawa 150 yote yanawezekana if you consider high and low estimates.
Dah njaa mbaya sana na jinsi alivyo ulamba 🤣🤣🤣
Itakuwa ndio hivyo converted 737sHivi hao Wana cargo jets au ni zile ndege zao baada ya kukosa abiria Waka kunja siti na kuzifanya za mzigo?
You shoul know that at Tz we are not only constructing the SGR line but also the electrical network, signalling and fence along the entire track length and mind you this is a 2500km SGR line the longest and heaviest in Africa.Badala ya kijipa pole wewe mwenyewe unawapa wakenya? Hiyo sgr ya Tanzania ina miaka zaidi ya 6 na bado haifanyi kazi...
Watanzania wengi ni mafala Sana
Ndio maanayake 🤣🤣🤣Kwamba videge vyao vinapambana kuokoteza mzigo sehemu mbalimbali Afrika vinapeleka nairobi alafu cargo plane ya Tanzania inauchukua mzigo wote kwa wakati mmoja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
But you are using pictures taken in mombasa 😂😂😂
So unataka kusema haijafika Bongo?But you are using pictures taken in mombasa 😂😂😂
View: https://x.com/kenya_ports/status/1746440855060176983?s=46