Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,615
- 5,797
hapa ndipo mnapata pa kuchezea na kurukaruka kule naira forum hamsubutu kwenda nashangaa mbona watanzania kule ni kama nyumbani ninyi kulikoni,If you don’t shut up I will invite Moroccans to this forum…🤣🤣🤣🤣🤣
bora umekumbuka siku ile nlimwambia tunazitengeneza arusha kibao na hatujitapi akaja akasema ni wao na wanaleta kwetu kuuza nlicheka sana.Mikunya ilikua inasema zinatengenezewa kwao 😂😂😂 na hii ni hal bado RSA
Yaani failure wa secondary anamcheka failure wa chuo kikuu
Hilo lilikuwa kombe la mbuziUseless league. No team in Tanzania has ever won CAF or CECAFA🤣🤣😂🤣. At least Gor ashaiwin a continental trophy.
Wataiwan Wana haki ya kuamua maisha ama wawe na wachina au wawe huru.Sisi mambo wachina hatuna biashara nayo.Sababu baadhi ya visiwa kupambana kujitenga na china wanaijua wachina wenyeweTanzania haikubaliani na upuuzi wa Ethiopia Kwa Somalia Kama tuu ambavyo haikubaliani na Taiwani kujitenga ichoboy01
View: https://twitter.com/ChineseEmbTZ/status/1747859646629437733?t=0Fr95gE81w23Vv29MVhPSQ&s=19
Kwani China inaitawala Somalia?Tanzania tunaunga mkono utengano wa Somalia
Wako uchi wataendaje huko si watachekwa?hapa ndipo mnapata pa kuchezea na kurukaruka kule naira forum hamsubutu kwenda nashangaa mbona watanzania kule ni kama nyumbani ninyi kulikoni,
Kwao tumefungua showroom tuu maana hao ni wateja wetu wakubwa pia.bora umekumbuka siku ile nlimwambia tunazitengeneza arusha kibao na hatujitapi akaja akasema ni wao na wanaleta kwetu kuuza nlicheka sana.
767 nyingine itapendeza zaidi. 747 au 777 itakuwa kubwa sana kwa soko letu likivyo.mama afanye haraka kama alivyohaidi kununua cargo plane ya pili!
Aki hili dude lina wa intimidate sana 🤣🤣🤣ATCL Cargo imetinga naipori?
View attachment 2875572
Alafu mpeleke mizigo nchi gani ya maana?
Wewe kima in case you didn't know Tanzania imezungukwa na nchi nane, nchi sita Kati ya hizo ni land locked countries, kwahyo it's the matter of investments kwenye bandari tu, binafsi wala sioni kama Kenya mnaweza kufanya competition na Tz ikiwa kweli tutawekeza kwenye miundombinu there's no way you can match Tz. Sisi tunayo potential. Ningekua kiongozi mkenya sasahiv ningetafuta strategies zingine ili kuendelea kuwa dominant economically kwenye hii region rather than kufanya figisu.. Tz iko na potential ya kuuongeza huu ukanda in so many ways. Geographic location inatubeba .. wewe kima mpuuzi endelea kujipa moyoAlafu mpeleke mizigo nchi gani ya maana?
Malawi na Burundi😂😂😂😂
Imagine hii demand ya sasa ya Dar Port kama ingetupata tukiwa tuna berths za kutosha (at least 25-30 berths) + Factional SGR, sasahiv ingekua tunaongea habari nyingine kabisa sasahiv hii maneno ya kaskazini ingekua imeisha zamani sana.Wewe kima in case you didn't know Tanzania imezungukwa na nchi nane, nchi sita Kati ya hizo ni land locked countries, kwahyo it's the matter of investments kwenye bandari tu, binafsi wala sioni kama Kenya mnaweza kufanya competition na Tz ikiwa kweli tutawekeza kwenye miundombinu there's no way you can match Tz. Sisi tunayo potential. Ningekua kiongozi mkenya sasahiv ningetafuta strategies zingine ili kuendelea kuwa dominant economically kwenye hii region rather than kufanya figisu.. Tz iko na potential ya kuuongeza huu ukanda in so many ways. Geographic location inatubeba .. wewe kima mpuuzi endelea kujipa moyo
Ata ziwe nchi 30, izo zote ni ShitholeWewe kima in case you didn't know Tanzania imezungukwa na nchi nane, nchi sita Kati ya hizo ni land locked countries, kwahyo it's the matter of investments kwenye bandari tu, binafsi wala sioni kama Kenya mnaweza kufanya competition na Tz ikiwa kweli tutawekeza kwenye miundombinu there's no way you can match Tz. Sisi tunayo potential. Ningekua kiongozi mkenya sasahiv ningetafuta strategies zingine ili kuendelea kuwa dominant economically kwenye hii region rather than kufanya figisu.. Tz iko na potential ya kuuongeza huu ukanda in so many ways. Geographic location inatubeba .. wewe kima mpuuzi endelea kujipa moyo
Hata nchi yako ni shithole; au ulikuwa hujui?Ata ziwe nchi 30, izo zote ni Shithole,,,
Wewe mpumbavu nyie mzigo mnapokea mteja wenu mkubwa ni Uganda na Rwanda wote hawa ni mataifa maskini .. unaongea kama unapokea mizigo ya UK 😂😂😂 Tahira kweli wewe. Mizigo yenyewe tunagawana, ingekua tayari tuko na enough infrastructure we unadhani Uganda aje Kenya naakati Tz ni karibu zaidi.?Ata ziwe nchi 30, izo zote ni Shithole
Maskini
Pelekeni maua na iyo ndege Moja India atleast
cargo planes tunaringishiwa humu!Below standards Kenyan flying scrappers
Kenyan plane crashes into building in Somalia
A Kenyan plane carrying humanitarian aid crashed near El-Barde airstrip in Somalia.www.pulselive.co.ke