Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

KQ hata sio the biggest cargo airline in Kenya. Munanunua cargo plane moja sasa hatuta pumua. Astral Aviation is the biggest cargo airline in EAC. KQ hupeleka maua Europe, Nyinyi pengine mupeleke hio maua India. 😂 😂 😂 😂
Najua Inauma, wazee wa Denial. Sasa ilikuaje mkaiogopa. Si dege moja linabeba tatu zenu, na tulilipa Cash.
 
🔥🔥
IMG-20240117-WA0071.jpg
 
Teargas mzee wa Full functioning SGR, kama kawa Mpenda sifa haogopi hasara, ila Wakenya watairingishia hilo garimoshi wee, basi ukiwaonesha Cape Gauge, na MGR za Tanzania watakubali hasara yote hata ikiwa mara tano.

JOKAAA HILOOO hasara itaanza kusomeka vizuri kwao.
 
Alafu wakuu nimenote, any foreigner wengi tunaoishi nao bongo ambao either unakuta wamechukua Uraia or wazaliwa, unakuta wapo proud na Nchi, yaani nchi inapendeka.

Bongozozo abarikiwe kwa kweli anapiga KO uongo wa Wakenya nje, kwa kila kivutio cha utalii.
 
Jitu linasema Oldonyo Lengai ni yao, yaani mpaka creator wa video tiktok anawasahihisha bado vichwa ngumu.

Alafu Badae linakuja hapa kusema We don't depends Tz on anything,

Will Smith kaandika kabisa Serengeti, mpaka unaona nembo ya TANAPA ila inakazana Masai Mara.
 
Tumewakaribisha mkuje mupeleke maua India. 😂 😂 😂 😂


Image
Tutapeleka india na europe maana ndege zenu za cargo ni regional jets na low capacity yake haiwezi kuleta profit kwenye inter continental flight. Hivyo mkae kwa kutulia tukibeba mizigo yenu.
Pia tambua kuwa another freighter iko kwenye makaratasi soon itakuwa a reality.
 
Boeing 767 imewashtua, sasa mkiona Boeing 747-400 je? Hii inabeba mzigo za hio ndege yenu mara mbili na ibaki na nafasi bado.😂 😂😂 Wabongo mpunguze ushamba walai.
Image
Kwani mnayo hiyo nyie. Mtu hujipima suruali kutokana na size yake sisi size yetu ni 767 nyie size yenu ni suruali za kuazima 737 🤣🤣
 
Back
Top Bottom