tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Tanzania tunapata unafuu wa ardhi 7bu ardhi tunamiliki watz,zipo maeneo ambazo ata mjiunge wapiga kelele humu hamuwezi nunua nusu acre, huu mji ni mpana sana ndio maana watu wengi hujenga kwenye miji mipya maeneo mbali na mjini kama madale,boko,bunju tegeta to mention few,nikiona umejibu hivi najua sindano imeingia vzr...nilkua nangoja unipinge kwa kutumia facts ila asante ushainua mikono...ukweli ni kuwa, mimi hapa ningekuwa naishi Dar ningekuwa sasa hivi nina nyumba kadhaa...ardhi bei rahisi kama pipi...sababu kubwa ya hili ni kuwa Dar sio mji muhimu kibiashara kama vile Nairobi (hub)...hawa wazungu wanaoleta headquarters jijini ndio wamesababisha ardhi kupanda sana...
Maeneo kama tandale,manzese ndio maeneo ambayo watu waiohamia dar zamani miaka ya 1970 walikua wakifikia kutokana na ukweli kwamba ndio maeneo ambayo watu walianzia maisha yao, mji ulivyokua unatanuka ukapimwa na maeneo mengine yakawayanakua taratibu...
Hakuna kitu kirahisi brathe na usitafute excuse Za bei ya plot kabisa,huwezi kukaa maeneo ambayo yalishaendelezwa kitambo...na usitudanganye ughali 7bu ata hapa Dar nimeshakwambi kuna hadi plot as tsh 500M tena ukute ni nusu acre! !