Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maeneo yote ya oysterbay, masaki,Upanga, Kariakoo,baadhi yamaeneo ya mikocheni,

Bei itapanda au kupungua kulingana na eneo na uwekezaji wako ,hio ni bei ambayo nimewahi shuhudia watu wakinunua plot eneo flani kwa ajili ya kujenga apartment !!
Kariakoo mkuu 20m x 20m ni 3bn tsh mitaa ya Livingston hapo hujaenda msimbazi mkuu
 
CrGTugfXEAAGBd-.jpg:large
Huu wore ni uchafu mtupu
Hiyo Nairobi huwezi ilinganisha na dar vipi iwe Mombasa,
Hahaha
Nairobi ati mwaliita jiji hata bus terminal hakuna!!
Mabasi ya mikoani hupaki kando ya barabaran
Vurugu mtindo mmoja,
Kwa ufupi Kenya nzima hakuna public bus terminal.
Tanzania takriban mikoa yote zipo.
 
Kenya hapa mnaona lakini. Music Safi toka TZ

 
nitolee upuuzi hapa...mimi huwa naskiza hip hop...leta za hip hop artists kama Prof J ama rappers wa bongo...sio vitu vya kijinga hapa
Dogo atakuumiza This is called TZ HP Girl

 
Back
Top Bottom