President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,666
- 94,306
Propaganda news. Taarifa yako haina proof. Show us wapi Tanzania imewapatia hicho unachodai?Knee jerk reactions ndio zenu, tuliwanyima 5th Freedom of the air kwasababu mulitunyima back in 2021. Mukitupatia tutawapea. It's that simple.
Nishaelewa kwanini Kenya inazalisha mabilionea wengi Africa maana hicho kibunda chote kinapigwa na wahuni wachache ndo maana inamabilionea wengi wanasiasa lakini hawazakishi chochote
Walisema in 3 days now permit imetoka under a day. Kweli vice iliyobana kende ilikuwa kubwa π€£π€£π€£
Simu moja tuu kutoka area code ya kizimkazi inamaliza mambo.Imefanya kazi chap
So who had a knee jerk reaction between Tz and Ke π€£π€£π€£π€£Knee jerk reactions ndio zenu, tuliwanyima 5th Freedom of the air kwasababu mulitunyima back in 2021. Mukitupatia tutawapea. It's that simple.
Kwanza hiyo 5th freedom right iko kwe makubaliano yetu ya BASA Tz can never renegade on its agreement ila hawa wakora wana bureaucracy nyingi sana ili kulinda vikampuni vyao vya ndani.Propaganda news. Taarifa yako haina proof. Show us wapi Tanzania imewapatia hicho unachodai?
Shida ndio ilianzia hapo. Halafu ATCL wana plan for a second freighter chupi zinawabana wanapaki bus mapema π€£π€£π€£AirTanzania has Boeing 767-400ER (Cargo ) - Very big
KQ has Boeing 737-300SF (Cargo) - Very Small
π€£ π€£ π€£
Zaidi ya vipicha vya majengo hamna kitu kingine cha kuposti?View of Upperhill from Nairobi South. Notice the number of green nets on the right side.
View attachment 2873410
Daki ya tatu tu wanaanza kupaki basi. Ikifija dakika ya 30 si watakuwa wamechojoa!!!? π€£ π€£ π€£ π€£Shida ndio ilianzia hapo. Halafu ATCL wana plan for a second freighter chupi zinawabana wanapaki bus mapema π€£π€£π€£
Piga ua permit utatoa tuu na imetoka leo mapema tuu kwa taarifa yako. Hatucheki na nyani sie.Sasa kiherehere huwa ya nini kila Mara mnarudi kunyoosha mikono?
tuliwanyma? KQ cargo flights r landing in Tanzania!Knee jerk reactions ndio zenu, tuliwanyima 5th Freedom of the air kwasababu mulitunyima back in 2021. Mukitupatia tutawapea. It's that simple.
Biashara inapaswa kuwa free kwenye economic block competition is good for growth. Tujiandae tuu kuteka soko la maua Kenya hopefully competition itawa favour wakukima wa maua kwa kuwapa option zaidi kwenye rates za mizigo.bado kq wa favor kubwa huku TZ,wanatua dar mara 2 hadi 3 kwa siku,wanatua KIA na ZNZ,wanatua zaidi TZ hata huko kwao,juzi jmosi kicargo chao pia kilikua dar,kwenye hayo mazungumzo wangeangalia yote na ukifikiwa muafaka wapunguziwe hizo route kulinda maslahi ATCL
Unalia ukiwa wapi Mukuru kwa njenga ama?Huwa hamna diplomacy. Mnapenda kupiga kelele ndio msikike mababe. Mambo ya kutoelewana yapo Sana kwa biashara Ila nyie likitokea jambo kama hilo mnapiga kelele jinsi mlivyodeal nalo halafu mnarudi kukubaliana. Hiyo contract hamjui nini kipo ndani na hata mkijua hamtoelewa maanake nyie Sio experts Ila government yenu kawaida inaona fursa ya kujionyesha kwa wananchi wajing jinsi ilivyo babe. Mnakuwanga na ufala Sana Na hizo loud declarations zenu.
Too late my friend the permit has already been issued to ATCL. keep your reservations to yourself.Wabongo tumewazoea na hii tabia yenu ya kulialia kila mara. Hakuna vile tutawapea 5th freedom of air yet sisi ndio tulia apply wa kwanza back in 2021 na mukatuweka pending till date. Nyinyi munataka the same 5th freedom of air bila reciprocity. Hio hatuwezi kubali.
Hata hao wazungu wenye share KQ wanawashangaa jinsi mlivyo bogus kwenye decision makingKama kawaida they haven't read the MOU, wanakuanga bongolala sana, chochote their government says wanaamini ni ukweli. Hio 5th freedom of air right hawaipati untill ours is reciprocated. It's that simple.
Fuatilia walioipokea Mombasa walisherehekea kwamba meli kubwa imegungua mwaka Mombasa Port.Ni wapi umeona mkenya akisema ni tukio la kihistoria?
To be precise they have 33 frequencies per week. Hii ni wastani wa karibia flights 5 per day nchi gani nyingine wanaweza kupata ruhusa kama hiyo sisi tunawastahi tuu hawa wakora ila hawajiongezi.hatuna tunachokipata huko,kwenye hili nyie ndie mtakaeumia imagine per week kq ina route zaidi ya 20 ndani ya TZ while ATCL huko kwenu route zake azifiki hata 10,halafu kama hamna cha maana mnachokipata huku mngekula kimya baada ya hii ban