Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ila hii komesha pata picha Mo pale METL arithi pasu kwa pasu incase mzee wake anavuta!
Yani sio poa kabisa kumbuka hapo bado kuna wadogo zake pia kwenye iyo nusu yani mwisho wa siku anakua mlala hoi kutoka bilionea
 
Now huu ni utoto.

BTW, muda mwingi wa maisha yangu niko nje Tanzania, nimetoka kijana mdogo wa miaka 19/20. Last huko ni 2007, unafikiri hapa tulipo tunaongea Kizaramo?
mimi nimekuambia huwa unachapia naona sasa umeona nilichokuwa nasema! Tena kwenye Kiingereza ni balaa!
 
mimi nimekuambia huwa unachapia naona sasa umeona nilichokuwa nasema! Tena kwenye Kiingereza ni balaa!
Una matatizo sio bure. Sijawahi pata B kwenye hilo somo, sasa hiyo balaa inatoka wapi?? 🤣🤣

Una chuki binafsi na nongwa kwakua hupendi kuwekwa sawa.

From Collns Dictionary.
Second time hii naweka. Kumbe ulikuwa sahihi, lets move on.


 

Attachments

  • Screenshot_20240115-081819_Opera.jpg
    43.6 KB · Views: 29
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…