Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,199
- 107,799
umeshinda baba! Mashindano ya shule ulizopita si angle yangu! Hizo websites za kampuni zinazotengeneza mabasi/mabehewa ya ghorofa wamekosea kuziita hizo wagons double decker! Wewe na elimu yako ya St Francis de Sales kule machokoroni Tabora unajua kuliko wao!Kingereza sikujifunza kama jinsi wanafunzi wa secondary za serikali Tanzania wanajifunza, ambopo wewe waweza kuwa mmoja wapo.
St Francis de Sales imetenga eneo maalum kwa ajili ya pre-form one ya kufundisha English huko Lububu, Tabora na ni zaidi ya mwaka. Na hakuna Mwalimu Mmatumbi na ni wakufunzi wenye more than one degree. Waalimu wangu wote ndani ya Lububu were all Indian Mapadri.
Tunapoanza Form Kihonda, Morogoro haturuhusiwi kuongea Kiswahili na hata kuanzia form one, waalimu wetu ni masister na mapadre wa Kihindi, none na hakjna aliyekuwa hana degree.
1. Inasikitisha kuona unanielezea kuhusu baadhi ya maneno ya Kiingereza toka lugha nyingine, wakati neno 'Bible' ni moja ya maneno ya kwanza tunayojifunza.
2. Lete hapa unachosema eti nachapia kinoma twitter, please lete hapa!
3. Hakuna mahala nimerefer 'The Citizen'. Nimekupa referensi mbili na zipo nyingi na yote hayo yanatumika.
4. Ulisema napotosha kwakua mzigo uko Pugu tayari, nikajaribu tu kukuweka sawa kuwa mzigo mwingi uko Germany bado, right?
mimi sioni kibaya alichoongea tena kamtaja JPM kwa mapana! na katoa tahadhari Bwawa halitatosha miaka mi-5 mpaka 8 ijayo! Sasa leta hoja za Kisayansi!Azim kadri anavyozidi kuzeeka ndivyo anavyozidi kuwa chawa, huyu siyo yule mfadhili wetu wa Simba miaka ya 80 na 90.
https://www.facebook.com/Katika football tunaomba mtuache tuko katika dunia yetu wenyewe 😁
Hiyo ni kambi moja tu mtu wangu. Inaitwa RTS Kihangaiko. Tupo na kambi zaidi ya 8.kwa wastani Tanzania itakuwa na wanajeshi zaidi ya 200,000 kama tunaingiza askari 3000 kila mwaka kwa miaka 60 iliyopita
Wanashindwa hata na malawi 😅😅😅Katika football tunaomba mtuache tuko katika dunia yetu wenyewe 😁
Hii hapa orodha. Weka kila moja 3000kwa wastani Tanzania itakuwa na wanajeshi zaidi ya 200,000 kama tunaingiza askari 3000 kila mwaka kwa miaka 60 iliyopita
tunaacha Mjenzi tunampa mjengewa miradi
View: https://youtu.be/guEGrfarmbQ?si=IrkIltniqJ0ipBmi
View: https://twitter.com/WizarayaUJ/status/1744688255306465683
Mgombea binafsi ni jambo Zuri sana wala usimkebehi kwa hiyo hojaShetani akizeeka
Huyu Mwamba LISSU na JPM uwa ni wazalendo sana kwa Taifa hili ila bahati mbaya ndio hivyo mafahari wawili uwa hawakai zizi moja.........ilitakiwa mmoja aondoke na mwingine abaki ndicho kilichotokea
Mgombea Binafsi kwa nchi yetu kwa sasa bado. Usiombe ikatokea hiyo. Bado uchaguzi wetu pesa ndizo kipaumbeleMgombea binafsi ni jambo Zuri sana wala usimkebehi kwa hiyo hoja
eleza kivp kama Trump na chama chake wanaweza kurubuniwa na Russia?Mgombea binafsi ni jambo Zuri sana wala usimkebehi kwa hiyo hoja
Hizo kampuni zinatengeneza mabehewa na mabasi na hawatengenezi Kingereza. Nimekuwekea sites mbili na zipo nyingi na pia kwenye kamusi iko klea, both terms zinatumika. Nimekuwekea vyote huko mwanzo.😂😂Hizo websites za kampuni zinazotengeneza mabasi/mabehewa ya ghorofa wamekosea kuziita hizo wagons double decker!
St Francis iko Morogoro, Kihonda. Tabora ni pre-form one tu. 🙄🙄Wewe na elimu yako ya St Francis de Sales kule machokoroni Tabora unajua kuliko wao!
Demokrasia ni gharama,kama tunahofia gharama kwanini tusibadilishe katiba tuwe na Chama Kimoja tu kama China au Russia??Mgombea Binafsi kwa nchi yetu kwa sasa bado. Usiombe ikatokea hiyo. Bado uchaguzi wetu pesa ndizo kipaumbele
Be open minded!!! Mgombea binafsi itaondoa ile power kama ya Mwendazake kuwa yeye kama Mwenyekiti wa Chama kwahiyo anasema tu kuwa namtaka Gwajima na huyo Mpwa wangu muacheni ata kama ni kura za wajumbe zimerdhiaeleza kivp kama Trump na chama chake wanaweza kurubuniwa na Russia?