Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mie Nangoja mwekezaji wa Dubai! Maana nilishtuka DART kununuliwa kule Dubai!
 
Aisee, aloo...! umetusanua, Mkuu safi sana sijawahi fikiria namna hii. πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ
 
Huu ujinga mmeanza nyie na iko sponsored na serikali yenu na hakuna Mtanzania yoyote atapoteza muda wake kuwajibu.
Yan sisi tusifanye maendeleo eti tunawaonea wivu,kupiga hatua kwetu eti tunawaonea wivu πŸ˜€,hamna jirani mnafiki kama hawa kundu0,hawa ndio wale majirani jirani akinunua gari ananuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…