The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Kwahiyo washakubali kwamba Dar port iko mbele yao π€£π€£π€£π€£π€£Aisee kama hizi tonnage za mzigo ni sahihi yaani mil.17 basi by June 2024 ,Dar Port itabudumia zaidi ya tannage mil.30 na kuweka rekodi Mpya.
Si ajabu Mombasa na Kunyaland wanalia Lia ππ
View: https://www.instagram.com/p/C14YPdPNnPv/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Bado hawajasema Hadi waseme ππππ
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1744718889295171711?t=adjfTLu7N3djda3dEdcYAQ&s=19
Nenda kafie mbali bwege wewe, hiyo East Afrika logistics centre ni business center pia ni mall, so nenda kalilie kwa choo.We mshamba nini? Unadhani malls hua shopping spaces pekee? π π π Najua hamjazoea malls huko bongo lakini sio lazima uonyeshe watu we ni mshamba. Malls hua na retail shops,supermarket, night clubs, restaurants, offices, banking halls, cinema, medical centers or hospitals, hotels, etc. Yani mall ikona kila kitu in one place. Kwanza sijui mbona munaforce kuita hio kitu mall na clearly wamesema ni business center tu with warehouses na vijiduka vidogo vidogo. Facility ikona 1000 parking slots while two rivers ikona over 2000 parking slots na bado unadai kubishana. Anyway wacha hio kitu munaita mall iishe tuone size ya hizo 2000 shops. I can't wait to laugh. πππ Kwanza who is the anchor tenant kwa hio mall yenu?
Kingunge Ngombale ni ndugu yako?Sawa kwahiyo nyie SUKUMA GANG mmemuandaa nani ashike nchi??
Kwahiyo washakubali kwamba Dar port iko mbele yao π€£π€£π€£π€£π€£
Wanajiunguza
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1744718889295171711?t=sSKrKKoCvvDL_ESJi1aUpQ&s=19 sindano inawaingia taratibu hawa kunduzero,washakubali ila ni ubishi tu,tena napenda serikali iwe inaona hiyo mikakati ya wakunya maana muda mwingine wanasabotage kabisa vitu vyetu wakishirikiana na watanzania wasio wazalendo
Sijasifia mtu nimekupa mfano wa Mungu wako umpime huyo unayempigia debe!Wewe tena umeanza kumsifika magufuli, hivi kulikuwa kuna sababu gani ya msingi ya kuwa na naibu waziri mkuu, kama siyo kumletea sonono Majaliwa?
Ndiyo ni babu yangu kizaa babaπKingunge Ngombale ni ndugu yako?
Kwa hizo hesabu ndio kusema by June report Dar Port tayari itakuwa na 34 mln tones ambazo wamekuwa wanalingia miaka na mikaka.Kwahiyo washakubali kwamba Dar port iko mbele yao π€£π€£π€£π€£π€£
Koma kabisa kutumia jina la Mwenyezi Mungu, aliyeziumba mbingu na nchi, hovyo hovyo.Sijasifia mtu nimekupa mfano wa Mungu wako umpime huyo unayempigia debe!
Wewe ni mtoto wa nani? Nyie watu wa Lindi mna mambo. Msalimie Membe.Ndiyo ni babu yangu kizaa babaπ
Vile vituo vilikua ni vibovu mzee kituo kama stoo ya mahindi ndio maana brt hawamu ya 3 wamerudi kwenye dizaini ile ya zamani ya awamu ya kwanzaVile vituo havina ubaya huo unaoungelea mkuu.
JItahidi sana kuandika kiswahili sanifu. Yaani kiswahili kilichosanifiwaVile vituo vilikua ni vibovu mzee kituo kama stoo ya mahindi ndio maana brt hawamu ya 3 wamerudi kwenye dizaini ile ya zamani ya awamu ya kwanza
Kulingana na maelezo ya mkurugenzi wa bandar 2022 bandari ya dar imehudumia tons 21.4m, by 2025 tuwe tushahudumia tons 25m kwa dar pekeeKwa hizo hesabu ndio kusema by June report Dar Port tayari itakuwa na 34 mln tones ambazo wamekuwa wanalingia miaka na mikaka.
Kumbe uwezo tunao wakuanza taratibu kwann ilikua tumpe mchina kwa mkataba ule??π π πWakunya Ujenzi wa Bandari Mpya soon,Kaeni mkao wa maumivu ππ
View: https://www.instagram.com/p/C135qjGNWUd/?igsh=cGx0aDByaHZtaGQ2
Mkataba ule ulifanyaje?Kumbe uwezo tunao wakuanza taratibu kwann ilikua tumpe mchina kwa mkataba ule??π π π