Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So, majengo ndiyo miradi ya kuongelea hapa? wakati majengo yenyewe sio unique. Majengo hata Somalia yanajengwa daily ndio maana huwezi kuona tunasumbuka na majengo sisi, definitely vimiradi vya less than $500B tushaachaga kuvipost humu.
 
Nipe variation ya export na import yenu hapa kama una ubavu!

Unadisqualifily export yetu kisa eti mmetupita kwa vidollar million 10 wakati ninyi mna export $5b mnaimport $9b 😂😂😂

View attachment 2863166
Why do you want me to overlook the $10m ambayo tumewashinda nayo while it is a statistical data?

And where did you get these $5b and $9b figures from ama hapo ndio kujiliwaza?
 
So, majengo ndiyo miradi ya kuongelea hapa? wakati majengo yenyewe sio unique. Majengo hata Somalia yanajengwa daily ndio maana huwezi kuona tunasumbuka na majengo sisi, definitely vimiradi vya less than $500B tushaachaga kuvipost humu.
Changing gears as usual. I posted a building ukasema hiyo ndio tunapost hapa kila siku na kwamba hatuna miradi mipya. After posting several buildings under construction sasa unakuja na povu zako as usual.

Bure kama mafi ya kuku as the late Kibaki would say
 
Nani kataja expressway hapa bongolala? Mbona unaweweseka? Toa matongo machoni kisha ufate thread ujue yanayoendelea
 
Si mjenge hizo expressway kumi tuone basi? Nani kawazuia? Michango zenu humu zimetawaliwa na hisia sana nyinyi mibongolalala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…