Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,140
- 17,880
At least we know picketing is a right. Wewe jaribu kuandamana hapo uswazini uone kitakachokukuta"Baba" amesema maandamano yanarudi; jitayarishe kuvaa sufuria kichwani😎😂
At least we know picketing is a right. Wewe jaribu kuandamana hapo uswazini uone kitakachokukuta"Baba" amesema maandamano yanarudi; jitayarishe kuvaa sufuria kichwani😎😂
Unaandamana wakat kila kitu kiko mezani siutakua mwendawazimu 😅😅😅😅😅At least we know picketing is a right. Wewe jaribu kuandamana hapo uswazini uone kitakachokukuta
Says a man who can't prove any economics factWacha hasira budaa 😅😅😅😅
Unaongea mpaka unayoosha na vidole
Kipi kipo mezani bongolala?Unaandamana wakat kila kitu kiko mezani siutakua mwendawazimu 😅😅😅😅😅
Wakenya hadi leo wanaulizana makabila hadi exact data za walulya sijui wakikuyu ni wangapi wanazo
View: https://twitter.com/Stats_Kenya/status/1742233680741900681?s=19
Piga kwenye mshonoHuwezi sema mtu anakosa dona anaweza kuwa happier than anaemlisha dona! That's bullshit!
Jifariji na soda baridi
Niandamane kwani ulisikia sina unga kama nyie nyang'au?😎At least we know picketing is a right. Wewe jaribu kuandamana hapo uswazini uone kitakachokukuta
Wewe unga unayojua ni mihadaratiNiandamane kwani ulisikia sina unga kama nyie nyang'au?😎
Long-term outlook for Ksh against TZS is bearish with likely weak support at Ksh 7KSH has depreciated against all currencies including the dollar and the Euro, sio dhidi ya hiyo madafu yenu pekee yake. It's economics bongolala, not wishful thinkings. It will will get Bullish soon and regain its strength agailocal currencies. Enjoy the moment while it lasts
Sasa kama hiyo "mihadarati" ninayo bado unataka niandamane na sufuria kichwani kama nyang'au au?Wewe unga unayojua ni mihadarati
Any economics fact to prove your point?Long-term outlook for Ksh against TZS is bearish with likely weak support at Ksh 7
Utajuaje umuhimu wa kuandamana wakati mihadarati yashakuharibu uwezo wako wackureason?Sasa kama hiyo "mihadarati" ninayo bado unataka niandamane na sufuria kichwani kama nyang'au au?
Ule muonekane wa gachagua na ruto kwa Tanzania ni wa kutafuta sana tena sana,ila ukienda uganda na sudan kusini sura na rangi zile ni za kumwaga,huko ndio kwa ndugu zao wakunyanduanastan huku kwetu wanafosi tuTanzania hatupo East of Africa, tupo South of Africa msifosi undugu.
'"Mihadarati" oyee unga na sufuria kichwani ziii😎😁😁Utajuaje umuhimu wa kuandamana wakati mihadarati yashakuharibu uwezo wako wackureason?
Kuna vijana huko fb wamekiwasha hatari 😀😀😀
Yaani huwa nakaa sehemu jioni nakunywa bia yangu ya baridi Huku Niko Furahia vijana wa fb wakipeleka moto kwa wakunya
Vijana wa sasa siyo kama sisi kipindi kile, hawataki mchezo kabisa, zamani ilikuwa Geza Ulole peke yake ndiyo alikuwa anabishana nao.Yaani mimi nikipita kwenye zile site za africa fb za kutangaza vivutio na miji masi nafurahi sana nikiona watanzania wanavyoruka nao.
Low export volumes, This year alone USD 2bn Euro bond plus other outstanding loans, higher loans to GDP ratio, higher taxes will discourage new FDIs and cause investors exodus as we have noticed recently, low economic productivity the list is long you dont need to be a rocket scientist to know that.Any economics fact to prove your point?
Hiyo tungeita currency managing maana nyie ndio mabingwa wa hiyo kitu 😁Didn't you see where I said it's economics?
Ingetoka from Tsh 20 to Tsh 25 hiyo ungeuitaje!
Mibongolalala bana!
usiniambie na kuporomoka kote huko wanafanya currency management?Hiyo tungeita currency managing maana nyie ndio mabingwa wa hiyo kitu 😁